United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,056
Reaction score
1,296
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports
 
wanasema Afrika kusini mwa jangwa la Sahara inazidi kuporomoka WAKATI Asia hususan India inazidi kufanya vizuri.

SIJUI ni parameters wanazotumia!!? haiwezekani the mighty economy of the continent Nigeria.
 
pov.jpg
 
Dah! Kuna watu humu huwa hawakomi kutuhubiria kila uchao kuhusu Kenya na umasikini, na kwao eti ndio Canaan kumbe hii ndio namba ambayo huwa wanatuambia tutaisoma? Ngoja wenye allergy za takwimu waje kwenye uzi huu.

Teh teh teh tihiii
umeiona Nigeria?
unaweza kusemaje?
 
watu wapambane na hali yao, kenya is not in denial over this issue, our media and government is actively aware and engaged over this serious matter and time will reveal the progress we make in the coming years
 
wanasema Afrika kusini mwa jangwa la Sahara inazidi kuporomoka WAKATI Asia hususan India inazidi kufanya vizuri.

SIJUI ni parameters wanazotumia!!? haiwezekani the mighty economy of the continent Nigeria.
Jombaa, huu sio ule utafiti maembe wa twaweza, hizi ni takwimu kutoka U.N. Naona wakenya pia tuna safari ndefu mbele yetu.
 
watu wapambane na hali yao, kenya is not in denial over this issue, our media and government is actively aware and engaged over this serious matter and time will reveal the progress we make in the coming years
Very true, they need to step up the efforts to achieving every goal in Kenya's Vision 2030. We the Kenyan people have what it takes, our politicians are pulling us back real bad. Just imagine all that we have been through in the last decade, post election violence, terrorism and whatnot. We would be so much better of than now!
 
Kwa kifupi hapa EAC bado walalahoi ni wengi sana...pesa ni ukosefu wa fursa,elimu duni, uvivu ama nn ...
Kwa kusaidiana upeo mtu masikini ni yule ambae hana akiba katika kipato chake cha siku,hana makazi bora,upatikanaji wa huduma za kijamii kwake ni changamoto,hana food security,hana bima ya afya
 
DUU hiyo imekaa kimagharibi zaidi.
mkiwa na visima vya kudumu, mazao yamestawi shambani, nyumba za local building materials lkn bora, bado tutakuwa masikini?

again, why western standard is the international standard? we need the continent standards, otherwise we'll always be poor.
 
DUU hiyo imekaa kimagharibi zaidi.
mkiwa na visima vya kudumu, mazao yamestawi shambani, nyumba za local building materials lkn bora, bado tutakuwa masikini?

again, why western standard is the international standard? we need the the continent standards, otherwise we'll always be poor.
Kaka usitake kutuchelewesha...ukweli unaujua kabisa kama ikitokea umeugua hauna bima ya afya mbaya zaidi kipato chako hakikutoshi embu niambie mustakabali wa familia yako?

Hautaweza kupata matibabu sahihi ,nyumba bora Ni lazima iwe na sakafu nzuri Yaani cemented, iwe na madirisha mapana mapema iwe na bati juu

Upande wa chakula maana yake ni lazima uwe na akiba during peak Times, kama unalima mazao yakutoshe kwa msimu mzima pia walau uwezo kua na akiba ambayo hata ukiuza inakusaidia kidogo...Kuna watu hivi vyote bado hawajaviweza Hawa unawaweka katika kundi gani
 
ninachoelewa is something to do with transformation of the continent culture.
 
Teh teh teh tihiii
umeiona Nigeria?
unaweza kusemaje?
Wamefanya ranking kulingana na wingi wa watu, ndio maana Nigeria wapo kwenye hiyo nafasi ya kwanza ila % yao ni ndogo zaidi ya Tz. Wana watu maskini karibia milioni mia moja! Tanzania mmewakilisha na watu zaidi ya nusu ya raia wote. % ya Kenya ndio ile ndogo kabisa kwenye hiyo list. With alot of effort Kenya inaweza ikapunguza hiyo % kwa kiasi kikubwa. Inshaalah, time will tell.
 
sishangazwi na Nigeria kwani ina takriban watu milioni mia mbili, hivi shida ya Ethiopia ni nini? Karibia kila mtu kwenye hiyo nchi ni maskini😱😱😱😱😱
 
sishangazwi na Nigeria kwani ina takriban watu milioni mia mbili, hivi shida ya Ethiopia ni nini? Karibia kila mtu kwenye hiyo nchi ni maskini😱😱😱😱😱
I had not noticed. Hata Sudan ya kusini hawako vizuri. Na wote wako afrika mashariki.
 
Wamefanya ranking kulingana na wingi wa watu, ndio maana Nigeria wapo kwenye hiyo nafasi ya kwanza ila % yao ni ndogo zaidi ya Tz. Wana watu maskini karibia laki moja! Tanzania mmewakilisha na watu zaidi ya nusu ya raia wote. % ya Kenya ndio ile ndogo kabisa kwenye hiyo list. With alot of effort Kenya inaweza ikapunguza hiyo % kwa kiasi kikubwa. Inshaalah, time will tell.

soma vizuri hiyo orodha, iko randomly. na ukienda kwenye kiziduo utaona idadi ya masikini Nigeria inafika 99,000k. SASA NCHI ina watu wangapi?
 
to go western life.
Kwa maisha ya sasa kaka hauna haja ya kukumbushwa,lazima watu wabadilike tu kwa hiari...angalia wachina walikua masikini miaka 25 iliopita lakini kwa sasa ni level ingine; hawajawahi badili tamaduni zao lakini wameendelea sana...

Middle east nao to be specific UAE miaka ya 1980 Dubai ilikua pori tu hakukua na kitu cha maana lakini angalia mahali walipo sasa...lakini muarabu hajawahi badili culture yake...

Waswahili tumejaa na uvivu hatuna haraka hatujui kuchangamka,hatupendi shule na kazi...hivi vitu tukiviacha mara moja miaka 20 ijayo tutakua mbali sana tena sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom