United Nations 2018 global poverty index rank- Africa

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

Kenya 38% quite impressive
 
Imagine Tz need only $7.5bn to fund the Electrified SGR from Dar to Mza, over 2000km

And Nigeria spend over $12B to construct this shit from Lagos to Abuja,
Tafsiri ya Rushwa ina maana tofauti kwa nchi tofauti Africa, ila hii ya Nigeria ni Special case.

Katika hiyo $12bn utakuta wapigaji wamepiga $9bn na labda billion tatu tu zimeenda kujenga hiyo SGR. Upigaji wao kule ni totally different level.
 
NairobiWalker Hayo yote kisa battle na ligi zisizokuwa na tija. Ndio maana kuna nyuzi humu hutaona comment yangu hata moja. Ukijaribu kuja kivingine ili tuamshane kama mandugu unatupiwa mitusi ambayo hata haigongi bulls eye, mara sijui za nyang'au sijui Kibera mara sijui njaa. Wakati wote huo wakitukashifu huwa wanajiweka juu na sisi chini yao eti nyang'au kiumbe ambacho hakifai kabisa kuwa kwenye dunia hii. Huku wakituponda kwa muamko wetu wakujikubali kama wakenya na kuwa tayari kila wakati kuamdamana na kuonesha hamaki zetu kwa wale ambao wanatuangusha kama waafrika. Muda wote huo huwa wanakana kwamba wapo kwenye hali mbaya kisa eti ndio wawafurahishe miungu watu wao na vyama vya enzi za ujana wa mababu zetu. Damn! Itabidi sote tujitathmini upya.
Duh! Ukweli huu......yaani majamaa yanakana umaskini unaoonekana wazi kisa ligi. Alafu source yao ya information ni twitter ya Kenya. Wakiona tukipost kule twitter jinsi hatuko satisfied na serikali na kuonyesha hamaki zetu ndio tupewe huduma bora, kwao hizo screenshots ni ishara wako mbele yetu kimaendeleo. Majamaa ni watu Wa ajabu.
 
Hamna haja ya kumung'unya maneno ukweli na usemwe tu. Jukwa liligeuzwa likawa ovyo kazi ni ngamia kucheka nundu za ng'ombe wale miaka nenda miaka rudi. Hatuelimishani, hatuinuani wala hatusaidiani, kimawazo, kifikra au hata na kimali panapofaa. Mungu atuonee huruma sisi waafrika wa kizazi hiki.
 
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%

2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

Lo! Naona kwa kwelly hii habari imewapa hawa watani wetu tumbo joto. Wale wale tunaowajua kwa bezo wamejibanza, wanajifanya kutouona uzi huu.

Kwa kifupi hapa EAC bado walalahoi ni wengi sana...pesa ni ukosefu wa fursa,elimu duni, uvivu ama nn ...
Kwa kusaidiana upeo mtu masikini ni yule ambae hana akiba katika kipato chake cha siku,hana makazi bora,upatikanaji wa huduma za kijamii kwake ni changamoto,hana food security,hana bima ya afya
wanasema Afrika kusini mwa jangwa la Sahara inazidi kuporomoka WAKATI Asia hususan India inazidi kufanya vizuri.

SIJUI ni parameters wanazotumia!!? haiwezekani the mighty economy of the continent Nigeria.

Kama hawa wenye ujasiri wa kuhimili pigo hili ya facti kutoka UN wameamua kutoa maoni yao bila ya bezo zao za kawaida....

Kitu pekee huwa sielewi ni hii nchi ya Nigeria,
Hata kama wangekuwa na watu milioni 300,
First of All, population is not always a bad thing, It can be an Advantage, especially for investors,
Pili, with a GDP of over $500bn, the Country is blessed with massive oil, kiasi kwamba wanapata bulk revenues at once,
Why then they have poor people, poor cities, poor infrastructure, poor Education system

The day I Saw they built this SGR (extremely substandard) for $12bn niliwadharau Rasmi,

Imagine Tz need only $7.5bn to fund the Electrified SGR from Dar to Mza, over 2000km

And Nigeria spend over $12B to construct this shit from Lagos to Abuja,
Tafsiri ya Rushwa ina maana tofauti kwa nchi tofauti Africa, ila hii ya Nigeria ni Special case.

Yes Tanzania we are poor, but we are not poor and foolish like Nigerians.
Ilhali kama hawa, facti kutoka UN imewapa kipigo kiasi hiki, mpaka wameamua kuachana na wale 'watani' wao wa kila siku na kutafuta wengine wa kutania (read kubeza).

Hivi kwa kweli kuna tofauti gani kati ya Nigeria na Tanzania katika ukwasi wa raslimali, na katika kutumia raslimali hizo kujikwamua kutokana na makali ya umaskini na ukosefu wa maendeleo ya maana? Hivi kwa kweli watz wanajiona hafweni wakijilinganisha na Ng? Kichekesho cha karne!
 
Lo! Naona kwa kwelly hii habari imewapa hawa watani wetu tumbo joto. Wale wale tunaowajua kwa bezo wamejibanza, wanajifanya kutouona uzi huu.

Kama hawa wenye ujasiri wa kuhimili pigo hili ya facti kutoka UN wameamua kutoa maoni yao bila ya bezo zao za kawaida....

Ilhali kama hawa, facti kutoka UN imewapa kipigo kiasi hiki, mpaka wameamua kuachana na wale 'watani' wao wa kila siku na kutafuta wengine wa kutania (read kubeza).

Hivi kwa kweli kuna tofauti gani kati ya Nigeria na Tanzania katika ukwasi wa raslimali, na katika kutumia raslimali hizo kujikwamua kutokana na makali ya umaskini na ukosefu wa maendeleo ya maana? Hivi kwa kweli watz wanajiona hafweni wakijilinganisha na Ng? Kichekesho cha karne!

broda, the issue is not bragging in here. it's about the continent to move the opposite direction of development.
why!!!???
 
Lo! Naona kwa kwelly hii habari imewapa hawa watani wetu tumbo joto. Wale wale tunaowajua kwa bezo wamejibanza, wanajifanya kutouona uzi huu.

Kama hawa wenye ujasiri wa kuhimili pigo hili ya facti kutoka UN wameamua kutoa maoni yao bila ya bezo zao za kawaida....

Ilhali kama hawa, facti kutoka UN imewapa kipigo kiasi hiki, mpaka wameamua kuachana na wale 'watani' wao wa kila siku na kutafuta wengine wa kutania (read kubeza).

Hivi kwa kweli kuna tofauti gani kati ya Nigeria na Tanzania katika ukwasi wa raslimali, na katika kutumia raslimali hizo kujikwamua kutokana na makali ya umaskini na ukosefu wa maendeleo ya maana? Hivi kwa kweli watz wanajiona hafweni wakijilinganisha na Ng? Kichekesho cha karne!
Wewe nawe ni Kichwa maji kweli,

Mimi wala sijaangalia sana Hiyo report ya UN, I was just seeing the things as they are, hakuna hata sehemu nimetaja hiyo ripoti maana bado siwezi kuiamini sana.
UN can be a trusted western source of information to you, but to me Tanzanians are much aware of Tanzania than UN, Pia nawezasema Tanzanians are Much aware of Kenya than UN, Mgeni hawezi kuijua nyumba yako kuliko Wewe, Vile vile Mgeni toka Ulaya hawezi jua nyumba ya Jirani yako kuliko wewe unaempa hadi chakula asilale njaa..
Si ni Hao wamewaambia mko middle income wakati ukweli ni kuwa Kenya ni 3rd World Country, na u kweli ni kuwa, Despite of higher GDP than Tanzania, ambayo kwa sehemu kubwa inabebwa na stronger currency, Kenyans are poorer than Tanzanians, najua hili unalifahamu fika, na sisi jirani zenu tunawafamu fika na hata mkiwa mnachinjana baada ya chaguzi zenu huwa tunakuja kuwapatanisha na mkiwa na shida ya chakula we are always there for you.
So bro Calm yourself Down.
 
It is not about bragging? Wait, what if the stats had shown Kenya and Tanzania poverty levels the other way round....?
Nakuambia hatungepumua humu. Nimeamini wakenya ni more mature. Zile stori zao za vijiweni kuhusu eti sijui maisha yalivyo magumu Kenya na Tz wanakula bata 24/7 zimepotelea kuleee. Ghafla leo wamekuwa wapoleee! Hahaa! [emoji23]
 
Duh! Naona umeandika kwa hisia chungu hapa, bila ya kuhusisha ubongo. Sdhani kama hata wewe mwenyewe unaelewa na kuyaamini haya umeyandika, ukisoma kwa kina. Kinaya ni kwamba umeniita kichwa maji.

Kama hauamini UN, basi utamwamini nani? Propaganda za serikali yenyu? Vichwa maji ni aina ya watu wanaoamini kila wanachopashwa bila ya maswali na kujali kuchunguza kwa kina ukweli halisi ya hayo wanayojuzwa.

UN sio organization kama organizations zozote unazozijua. Sio shirika la wazungu. Sio shirika la kueneza propaganda dhidi ya nchi lolote lile. Bali ni muungano wa mataifa yote duniani! Ni shirikisho ya serikali za dunia, na kila serikali ina representatives wao kwenye UN.

Kama haujui hili, basi wacha nikufahamishe tu ya kwamba UN inamaanisha United Nations, yani Umoja wa Mataifa.

Kwahivyo unaposema ya kwamba Kenya ni maskini zaidi ya Tanzania, una takwimu zipi? Ati ujirani? Wewe kweli ni kichekesho.
 
Nakuambia hatungepumua humu. Nimeamini wakenya ni more mature. Zile stori zao za vijiweni kuhusu eti sijui maisha yalivyo magumu Kenya na Tz wanakula bata 24/7 zimepotelea kuleee. Ghafla leo wamekuwa wapoleee! Hahaa! [emoji23]

Watasema nini sasa? Hii thread sasa hivi ingekuwa kwenye ukurasa wa kumi, picha za watu wenye njaa, Kibera, Mathare...yani full kejeli, wahusika wakiwa wale wale tunaowajua. Haya sasa. Wapo wapi? Thread hawajaiona?
 
Wanachambua tweet za wakenya sasa hivi wakitafuta 'content' kutoka kwa wakenya ili wazitumie kukejeli wakenya. Hawaipendi nchi yao kabisa hawa jamaa, wako 'obsessed' zaidi na Kenya. Ngoja niite hiyo kwaya ya akina dada wa fisiemu, Geza Ulole Annael redeemer joto la jiwe mulisaaa leteni akili zenu mgando humu, fasta, na tusisumbuane tafadhali! 😎
 
It is not about bragging? Wait, what if the stats had shown Kenya and Tanzania poverty levels the other way round....?

my broda stop asking such silly questions. do you think you have fulfilled your goal simply because you surpassed TANZANIA.
the truth is we have walk to take.
 
Imagine Tz need only $7.5bn to fund the Electrified SGR from Dar to Mza, over 2000km

And Nigeria spend over $12B to construct this shit from Lagos to Abuja,
Tafsiri ya Rushwa ina maana tofauti kwa nchi tofauti Africa, ila hii ya Nigeria ni Special case.

Nimecheka huyo Dada alivyomalizia,ila the so called wanyonge(common people) wanashida sana huko Nigeria japo na bongo hiyo tabia inataka kuota mizizi yaani unakomaa na madreamliner ya mabilioni ya dola afu unaacha watu wanazama kwenye vivuko kisa meli/vivuko havikidhi
Congrats kwa congolese ubunifu wao mzuri tena wametengeneza wenyewe
 
Afrika is not moving ahead, every day is worse than yesterday.
Ndo maana nchi ikifanya ka project kamoja tena kamejaa ufisadi makelele na sherehe mwaka mzima as if ndo mwisho wa umaskini wakati safari bado ni ya generation kibao kwa speed za kiafrica
 
wanasema Afrika kusini mwa jangwa la Sahara inazidi kuporomoka WAKATI Asia hususan India inazidi kufanya vizuri.

SIJUI ni parameters wanazotumia!!? haiwezekani the mighty economy of the continent Nigeria.
Wapimbavu hiyo mizungu walahi!
Hii ndio inaitwa mind control, wanataka tuji feel inferior, madadeki zao, wao wadhungu wenyewe wanaishi na mikopo kutoka China walahi
Mijinga sana hii midhungu!
 
Back
Top Bottom