Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

🙏🙏🙏🙏
 
Wamepigwa kifala sana.

Vita vya ardhini watapata tabu sana,HAMAS wana mahandaki maalumu ambayo yamejengwa kistadi na yana mzunguko wa zaidi ya 400km. Yaani umbali wa kama Dar to Tanga,ndio wanayatumia kushambulia misafara ya wanajeshi wa Israel.

Baadae nikipata wasaha nitaweka video watu waelewe. Mahandaki haya yanatumiwa kushambulia kwa rocket, makombora ya mkono na drones.
 
 
The new graveyard if empires ,the new Afghanistan .
Hii vita hawa wazayuni wa Rombo walichukulia kiwepesi sana ,vita si rahisi
Wazayuni watakaoingia kichwa kichwa hapo watalambishwa mchanga tu
Kufa vitani ni kawaida, Hamas anapigana mapigano ya mwisho mwisho.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ww ukimuona mtu anaitwa Josefu basi huyo ni mkristo ?
Sasa ni kwambie tu ni kuwa asilimia kubwa ya wavumbuzi hapa duniani ni watu wasio amini katika mungu.
Africa wamejaa wakiristo wamevumbua nini?
 
Swala la Africa ni Swala lingine.. hata wewe hukuzungumzia Waislamu wa africa.. Bali islams generally..

Wekezeni katika Elimu dunia.. Bikra 72 achaneni nazo.
Sasa siumelizwa kuwa nyinyi mlio wekeza kwenye elimu mmevumbua nn?

Alafu baba yako ange achana na bikra ww usingekuwa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…