flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Aaah naapa kwa mungu tcu wakinitupa huko siendi bora nikae nyumbani nisubirie mwakani..nani anataka kusaga lapa akishamaliza chuo??teku..nina 100% nachaguliwa ardhi tena coz point zangu zinaniruhusu..sio wewe umechaguliwa choice ya5 baada ya kugaragaZwa zote nne za mwanzojiandae kwenda teku
Yani nitawaona TCU wa maana wakitoa udsm,sua,ardhi na udom baaaasi
umepangwa kwenye chuo kilichokuwa zamani ni godown la mkoa hahahaha!
sitembelei web yao
Acha ubinafsi ndugu yangu,sasa vyuo vingine vitatolewa na nani,tena waweza kuta haupo miongoni mwa hivyo ulivyotaja hapo.
daaah nilikuwa nataka kukuponda kumbe member wangu basi napita 2
wanatoa kwanza waliofeli then waliofaulu ambao 2mechaguliwa vyuo vya gvnt kasoro udom wapo waliofel
fikiri mara mbili mbil wengne tulienda awamu ya kwanzaa.Acha hizo kwanza waliofaulu wapo jkt!