University of Dar es salaam: Mnavyowafanyia wanafunzi wa masters na PhD mnakiua chuo, badilikeni

Ukitaka ujue UDSM na hizi school zao na colleges zimejaa ujinga kasome pale. Hakuna chuo kibaya kama UDSM kimebaki na jina tu lakini uhalisia hakuna.
 
Mtoto want amesoma masters mwaka Sasa hata proposal ya masters haijavuka kwa supervisor, kila akimcheki supervisor hakuna email reply Wala wala apokei simu.

Nikafunga safari kwenda naye chuo kuuliza tatizo ni nini? Watu tuliowakuta academic block walichosema unajua Hawa ma senior lecture na hata wengine hawa mnatakiwa mwende nao Polepole la sivyo mkiwashtaki kwa DVC academy akasikia mtoto wako atafudisco maana wanawasiliana.

Tuvumiliane tu tutamjulisha wenyewe supervisor wake. Kwa kuwa nilikuwa na jazba na Kuna wanafunzi walikuwa wanasikia majibizano Yale na baada ya kutoka nje ndipo nikapata ushuhuda wa Nini kinaendelea chuoni.

Kwanza, hakuna mtu anayesimamia wasimamizi wa wanafunzi ambaye anajua kazi hii imekaa kwa supervisor muda gani.

Pili, madaktari wengi wa UDsM wanaamini wao ndio wenye final say na wanawatisha wanafunzi kuwadisco endapo wakionekana kupingana au kulazimisha wahudumiwe

Tatu, tofauti na urasimu wa supervisors urasimu mkubwa zaidi upo kwa external supervisors ambao wamejiwekea muda wa miezi mitatu au sita kufanyia kazi utafiti uliowasihwa kwao.

Nne, hakuna kitengo cha ICT cha kufanya haya mambo kilicho serious

Tano, hakuna mwanasiasa Wala mtoto ambaye mzazi wake ni mtumishi pale anayekwamishwa wala kuchukua muda kurekebishiwa kazi yake kwa sababu wazazi au wahusika hutumia madaraka na Pr zao kuhudumia

Sita, kazi za wanafunzi zinavyowekwa hakuna utaratibu mzuri. Mwanangu alipewa kazi yakupekua box lina mamia ya kazi za watu...no secrettt

Mimi nimesoma nje miaka ya 1990 hakukuwa na urasimu huu, nimeangalia vyuo vingi ikiwemo hata open utaratibu upo streight....nenda suaut na kwingine utaratibu upo wazi. Kwanini UDSM wapo nyuma hivi?

Hawa supervisor na Urasimu wao ndio wanaotegemea kuteuliwa kwenda kuongoza taasisi za umma? Nadhani kigezo Cha utendaji kazi kiwe msingi wa kupandishwa cheo siyo kazi binafsi za supervisor anajaza cv huku aliopaswa kuwahudumia akiwakwamisha kisa yupo busy na kazi zake binafsi. Haujaariwa chuoni kujiendeleza umeajiriwa kusaidia watu.

Masters 4yrs ,Phd 8 yrs unatafiti Nini? Na kibaya zaidi research paper zao hazina hata ubora wa uandishi kama za vyuo vingine useme wana ubora. Kawaida kabisa.

Mzee Rutinwa simamia watu wako wapitishe kazi za wanafunzi waache uungu mtu
Tutazunguka sana lakini ukweli upo wazi mmo.
Supervisor wa Tanzania hana incentive yoyote ya kupambania ili mwanafunzi wake wa Masters afanye vizuri na kumaliza mapema.
Mwanafunzi akimaliza, supervisor analipwa laki na nusu baada ya muda wote huo. Mpumbavu mmoja atasema si ana mshahara? Anao sawa, lakini ki kiduchu.
Nchi nyingi hasa zilizoendelea, supervisor hulipwa vizuri kila mwanafunzi wake anapohitimu. Hiyo ni nje ya mshahara sio masihara kama ya kwetu.
Wakati mwingine huhitajika zaidi ya supervisor mmoja na wagawane hiyo laki moja.

Tuna safari ndefu sana
 
Halafu hiko chuo si ndio wanajiita chuo kikuu cha vyuo vikuu vyote tanzania,maharuni hawa
 
Nimependa ulivyomjibu. Huyo mtoto wake na mzazi mwenyewe hakuna kitu.
Labda mzazi wako haelewi hata Masters ni nini, sasa utakwenda naye pale kufanya nini?

Hata mimi nisingempeleka mama yangu kwa vile hakusoma kwa kiwango hicho, lakini mimi mwenyewe nimesoma na naelewa ni kitu gani kinatakiwa kiendelee.
 
Tutazunguka sana lakini ukweli upo wazi mmo.
Supervisor wa Tanzania hana incentive yoyote ya kupambania ili mwanafunzi wake wa Masters afanye vizuri na kumaliza mapema.
Mwanafunzi akimaliza, supervisor analipwa laki na nusu baada ya muda wote huo. Mpumbavu mmoja atasema si ana mshahara? Anao sawa, lakini ki kiduchu.
Nchi nyingi hasa zilizoendelea, supervisor hulipwa vizuri kila mwanafunzi wake anapohitimu. Hiyo ni nje ya mshahara sio masihara kama ya kwetu.
Wakati mwingine huhitajika zaidi ya supervisor mmoja na wagawane hiyo laki moja.

Tuna safari ndefu sana
Kuna vitu huwa tunafanya mfano kile kitabu cha mwisho huwa wanatoa maelekezo ukafanyie wapi na wao hapo wanapata soda. Lakini OUT hawahitaji chochote wanafanya Kwa ueledi WA Hali ya juu. Ila na Sisi tunaotafuta Elimu tuache ujuaji.
 
Mwanafunzi wa Masters degree regardless ya umri, nchi aliyopo anatakiwa aweze kufuatilia mambo yake mwenyewe na kuyatatua sio mpaka mzazi uingilie kati.

Otherwise tunatengeneza tatizo kubwa zaidi, huyo tunategemea awe ndio amebobea kwenye fani yake atakapomaliza masomo, awe kwenye managerial position za taasisi ama shirika atakalofanyia kazi ama kujiajiri, na huko sijui akikutana na changamoto mzazi utaenda tena kufuatilia kwanini subordinates wake ni wakaidi
 
Mwanao anafanya Masters.

Halafu ukafunga safari kwenda naye kuuliza tatizo ni nini ?

Huyo ni mtoto au kopo pa rubisi.

Anyway, mzazi ni mateka wa Mbowe aliyepata zero Ihungo kwahiyo hakuna matarajio ya mtoto kuwa wa maana sana.
Huna akili kabisa....
 
Mwanafunzi wa Masters degree regardless ya umri, nchi aliyopo anatakiwa aweze kufuatilia mambo yake mwenyewe na kuyatatua sio mpaka mzazi uingilie kati.

Otherwise tunatengeneza tatizo kubwa zaidi, huyo tunategemea awe ndio amebobea kwenye fani yake atakapomaliza masomo, awe kwenye managerial position za taasisi ama shirika atakalofanyia kazi ama kujiajiri, na huko sijui akikutana na changamoto mzazi utaenda tena kufuatilia kwanini subordinates wake ni wakaidi
Wabongo hizi akili zenu ndo zinawafanya muendelee kubaki palepale
 
Huo ndio ukweli mchungu, mtu mwenye Masters anatakiwa academically aweze kuweka mambo yake sawa bila intervention kutoka kwa mzazi !
 
Mtoto want amesoma masters mwaka Sasa hata proposal ya masters haijavuka kwa supervisor, kila akimcheki supervisor hakuna email reply Wala wala apokei simu.

Nikafunga safari kwenda naye chuo kuuliza tatizo ni nini? Watu tuliowakuta academic block walichosema unajua Hawa ma senior lecture na hata wengine hawa mnatakiwa mwende nao Polepole la sivyo mkiwashtaki kwa DVC academy akasikia mtoto wako atafudisco maana wanawasiliana.

Tuvumiliane tu tutamjulisha wenyewe supervisor wake. Kwa kuwa nilikuwa na jazba na Kuna wanafunzi walikuwa wanasikia majibizano Yale na baada ya kutoka nje ndipo nikapata ushuhuda wa Nini kinaendelea chuoni.

Kwanza, hakuna mtu anayesimamia wasimamizi wa wanafunzi ambaye anajua kazi hii imekaa kwa supervisor muda gani.

Pili, madaktari wengi wa UDsM wanaamini wao ndio wenye final say na wanawatisha wanafunzi kuwadisco endapo wakionekana kupingana au kulazimisha wahudumiwe

Tatu, tofauti na urasimu wa supervisors urasimu mkubwa zaidi upo kwa external supervisors ambao wamejiwekea muda wa miezi mitatu au sita kufanyia kazi utafiti uliowasihwa kwao.

Nne, hakuna kitengo cha ICT cha kufanya haya mambo kilicho serious

Tano, hakuna mwanasiasa Wala mtoto ambaye mzazi wake ni mtumishi pale anayekwamishwa wala kuchukua muda kurekebishiwa kazi yake kwa sababu wazazi au wahusika hutumia madaraka na Pr zao kuhudumia

Sita, kazi za wanafunzi zinavyowekwa hakuna utaratibu mzuri. Mwanangu alipewa kazi yakupekua box lina mamia ya kazi za watu...no secrettt

Mimi nimesoma nje miaka ya 1990 hakukuwa na urasimu huu, nimeangalia vyuo vingi ikiwemo hata open utaratibu upo streight....nenda suaut na kwingine utaratibu upo wazi. Kwanini UDSM wapo nyuma hivi?

Hawa supervisor na Urasimu wao ndio wanaotegemea kuteuliwa kwenda kuongoza taasisi za umma? Nadhani kigezo Cha utendaji kazi kiwe msingi wa kupandishwa cheo siyo kazi binafsi za supervisor anajaza cv huku aliopaswa kuwahudumia akiwakwamisha kisa yupo busy na kazi zake binafsi. Haujaariwa chuoni kujiendeleza umeajiriwa kusaidia watu.

Masters 4yrs ,Phd 8 yrs unatafiti Nini? Na kibaya zaidi research paper zao hazina hata ubora wa uandishi kama za vyuo vingine useme wana ubora. Kawaida kabisa.

Mzee Rutinwa simamia watu wako wapitishe kazi za wanafunzi waache uungu mtu
Tatizo ma lecturer wamejeuka wajasiriamali.. wapo busy na mishe zao nyingine
 
Kuna vitu huwa tunafanya mfano kile kitabu cha mwisho huwa wanatoa maelekezo ukafanyie wapi na wao hapo wanapata soda. Lakini OUT hawahitaji chochote wanafanya Kwa ueledi WA Hali ya juu. Ila na Sisi tunaotafuta Elimu tuache ujuaji.
Ni kweli kuna matatizo pia upande wa wanafunzi. Kama supervisor ana wanafunzi kadhaa, kwa nini huyo mmoja iwe shida?
Akiambiwa lete kazi baada ta week mbili anaibuka after six months na story nyingi halafu huko mwisho anamlaumu mwalimu wake.

Sioni kwa nini supervisor asilipwe angalau million moja kwa kila Masters na angalau million tatu kwa PhD
 
Ni kweli kuna maratizo pia upande wa wanafunzi. Kama supervisor ana wanafunzi kadhaa, kwa nini huyo mmoja iwe shida?
Akiambiwa lete kazi baada ta week mbili anaibuka after six months na story nyingi halafu huko mwisho anamlaumu mwalimu wake.

Sioni kwa nini supervisor asilipwe angalau million moja kwa kila Masters na angalau million tatu kwa PhD
Ni kweli kabisa Mimi nilianza kama mzaha vile kuna chapter za mwanzo alinisahihisha mara tatu akaniambia Mie huwa sisimamii mwanafunzi asieelewa hii ni mara ya mwisho ukishindwa tafuta mwingine, nilisoma Journals nyingi mpaka nikajua wapi nakosea ndio ikawa mwanzo WA kujua ujanja ya haya mavitu. Hakuna Mwalimu mjinga na kama unasubiri utafuniwe wewe umeze achana na research.
 
Kama Una uwezo wa mtu kumlipia masters peleka ulaya Acha na hizi za huku
 
Nashukuru Mungu, Supervisor wangu alikuwa busy sana, Hadi Kuna siku nilitamani nimzabe makofi [emoji2][emoji2][emoji2], nashukuru Mungu alinisimamia, ila kusoma UDSM raha sana, Uvumilivu jambo la muhimu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Vyuo vyote hivi vilivyojaa hapa Tanzania ama Duniani mtu ukapoteze muda wako UD kwa waalimu limbukeni na washamba?

Mimi ni vile tu sikua na uwezo, hata undergraduate nisingesoma Tanzania. Waalimu wengi wa vyuo Tanzania ni washamba, limbukeni, roho mbaya, mawazo mgando, fikra za kijinga na kizamani sana.

Wengi wamesoma master degree ulaya miezi 12 lakini wakija bongo wanakulazimisha usome miezi 18 na hiyo 18 utapata shida sio kidogo, mara nyingi ni zaidi ya miezi 24. Kuna mshikaji wangu alianza master degree hapo UD toka 2017 hajamaliza hadi leo, mara supervisor hayupo, mara miezi 3 hajajibu wala kusahihisha kazi ya mshikaji, mambo ya hovyo kabisa. Jamaa November hii anaenda kuanza master degree Nairobi upya.

Bora kusoma open university kuliko kua campus.

Vyuo vyetu bado vina waalimu wanaamini mitihani migumu ndio inakufanya uwe bora. Mwalimu anatangaza darasani eti mwaka huu nashika kadhaa, mwaka jana nilishika kadhaa, hao ni waalimu.

Mimi hakuna elimu nitasoma kwenye vyuo vya Tanzania tena hata kwa bunduki.
Wapuuzi sana hawa jamaa, yani wanaona furaha kukamata watu
 
Back
Top Bottom