Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 562
ha ha ha ha haNawaona wa mikoani karibuni makao makuu ya vyuo vikuu nchini - UDOM
[emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu ulikosa admission nn mbona unakidis chuo kikuu kimoja tz[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Chuo hakitoa hta Bachelor Degree in Science Physics, Radiation, Aviation wala Aircraft Operations
[HASHTAG]#ChuoNiOvyoKabisa[/HASHTAG]
Maarufu kama b.comnimepita hapo kabla hapajaitwa udbs enz hizo panaitwa faculty of commerce.... viva udsm
24hrs bado papo na raia wanakamua tu....Nmepita hapo miaka ya 2006, ni sehemu pekee ambapo unaweza ukiwa sio mtu ukatoka ukiwa mtu, kambi la jkt, msuli wake usiseme! Napakumbuka sana 24hrs sijui kama bado papo, kule mabawani ndo nilikuwa guest house za masela...hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikumbuka FoE mkuu. Enzi zangu tulikuwa kitivo cha veti tu. Chuwa walikua wakutafuta kwa darubini.Du kumbe wengi wenu ni watoto wa juzi.
Tupo tuliokuwepo kabla ya colleges, naikumbuka FoE.
Ndio kaka. VC wangu alikuwa Msekwa halafu Kaduma.Miaka yetu Chancelor Mwalimu Nyerere.
Mzee Punch alikuwa kiboko. Masikini wasichana walikuwa wanaogopa kuja kunywa chai ya saa kumi pale Havard.Enzi hizo kulikuwa huyo aliyejiita Mzee Punch. Nadhani alikufa. Vijana wa leo mlimkuta?
Post sent using JamiiForums mobile app
Ooooh, how sweet?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooooh, how sweet?
This is where boy kisses girl, they make up, and live happily ever after.
THE END.
(Msinile nyama, natania tu)
Sent using Jamii Forums mobile app
NYIE NDO WASOMI WETU ETI COLLAGEUpo collage ipi?