University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Kama wanasheria wa serikali wanapitia kwenye chuo hiki ama wafutiwe shahada zao au shahada hizo ziondolewe kwenye programu za chuo au wakufunzi wa shahada hizo waondolewe. Haiwezekani (kama watakuwa wamehitimu shahada zao hapo) wakawa wanashindwa kesi kila siku mahakamani na akina Tundu Lissu!
 
Nmepita hapo miaka ya 2006, ni sehemu pekee ambapo unaweza ukiwa sio mtu ukatoka ukiwa mtu, kambi la jkt, msuli wake usiseme! Napakumbuka sana 24hrs sijui kama bado papo, kule mabawani ndo nilikuwa guest house za masela...hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24hrs bado papo na raia wanakamua tu....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
MSAADA!
Utaratibu wa UDSM kutuma transcript direct kwa chuo ninachoomba Masters in North America.
Naomba procedures including cost kama UDSM wanazo.
Thanks wadau
 
Enzi hizo kulikuwa huyo aliyejiita Mzee Punch. Nadhani alikufa. Vijana wa leo mlimkuta?

Post sent using JamiiForums mobile app
Mzee Punch alikuwa kiboko. Masikini wasichana walikuwa wanaogopa kuja kunywa chai ya saa kumi pale Havard.

Lakini ule ulikuwa unyanyashaji wa kijinsia, au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikosea kujaza majina wakati naji register apo udsm,nimepiga simu yapata wiki sasa lakn kila siku naambiwa kesho,nashindwa kuwaelewa kabisa kama haiwezekanibkurekebisha si wangeniambia tu ili nipambane na hali yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom