mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
sasa baba si kwa mwanao.au kisa unaona una mtoto basi ni baba wa dunia nzima?Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!
vzr atakuwa pia anapata nafac za kwenda out kuliko kukaa hom!Nakushauri akae hostel kwa faida kadhaa;
1.Akikaa hostel atawahi vipindi vya asubuhi kwa wakati.
2 . Akikaa hostel atapata nafasi ya kufanya majadiliano na wenzake wakati wowote kumbuka majadiliano mengi huwa jioni.
3. Usalama pia wa binti yako maana kuna siku atakua anamaliza vipindi usiku je atafika nyumbani saa ngapi....
Avatar n ww?Najivunia niligraduate hapo.Walimu wapo vizuri sana.Japo wanabana sana ila ukitoka umeiva.Ujuzi na maarifa sahili.Sikujuta kua hapo.Viva Udsm.Najipanga kurudi Masters 2019 nikipata ruhusa kazini
Itategemea na pasmark mkuu ila bora uhame chuo kuliko kusoma bba hiyo co professional kama ilivyo sheria ama educationHodi udsm.
Bwana apewe sifa,
Tumsifu Yesu Kristo,
Asalam aleikum.
Namshukuru Mungu nimechaguliwa udsm, nimetokea diploma ya sheria, ila nimepangiwa busines administration. Je naweza nikaruhusiwa kuchange course nitoke bba niende llb? Natanguliza shukrani zangu zote.
NdioAvatar n ww?
Mmmmh! bas ww atarNdio
Tatizo ni kwamba nimepata udsm pekee.Itategemea na pasmark mkuu ila bora uhame chuo kuliko kusoma bba hiyo co professional kama ilivyo sheria ama education
Wewe ulitoka llb kwenda bba?Inawezekana kiongozi ila inategemea na sifa zako, mfano labda hujakidhi kigezo vya kuhamia LLB kutoka BBA. Pia kuna uwezekano mdogo wa kutoka BBA kwenda LLB, ila ni rahisi kutoka LLB kwenda BBA...
NB: nimejibu kulingana na changamoto niliyopata kipindi nahama kozi enzi hizo.
Week mbili za mwanzo ukiripot chuo andika barua kuna utaratibu wao ndo watakufikiria kama kutakua na nafasiWaliopo mlimani jamani.
Kuna uwezekano wa kubadilisha course? Kutoka bba kwenda llb?
Nashukuru sana.Week mbili za mwanzo ukiripot chuo andika barua kuna utaratibu wao ndo watakufikiria kama kutakua na nafasi
Bba kama umetoka formsix yan ndo unaisomea iyo apo navoskiaga sio poa kbsa cause iyo wanasomaga watu most labda wanahitajika kuwa na hiyo degree so wanasomeshwa na ofisi most ndomana unaona ipo jioni... We ukienda ka una vigezo vinavohitajika hamia tu course za business pale udbs... Maana kutoka business adi law mtihani pia..LLB kuna dem aliaply mwaka jana ile but hakupata ingawa alkua na 1.5Nashukuru sana.
Naomba unipe mwanga kuhusu hii bba kama unaifahamu. Au kama kuna mtu unamfahamu anaechukua bba ambae utaweza kuniunganisha naye.
Duh... Hatari, nashukuru. Ngoja kwanza Kichwa ipoe.Bba kama umetoka formsix yan ndo unaisomea iyo apo navoskiaga sio poa kbsa cause iyo wanasomaga watu most labda wanahitajika kuwa na hiyo degree so wanasomeshwa na ofisi most ndomana unaona ipo jioni... We ukienda ka una vigezo vinavohitajika hamia tu course za business pale udbs... Maana kutoka business adi law mtihani pia..LLB kuna dem aliaply mwaka jana ile but hakupata ingawa alkua na 1.5