mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
sasa baba si kwa mwanao.au kisa unaona una mtoto basi ni baba wa dunia nzima?Habarini ndugu!
Mimi ni mkaazi wa Dar.
Natarajia Binti yangu atapata nafasi ya Kusoma bachelor hapo mlimani , je lipi chaguo Bora kati ya awe anatokea nyumbani kwenda chuo na kurudi , au abakie kwenye hostel za chuo? Nini faida au hatari/Hasana ya mojawapo ya maeneo hayo? Tafadhali mwenye uelewa anijulishe, naomba lugha iwe ya staha kwa kuzingatia kua Mimi ni Baba hivyo nastahili heshima Tafadhali sana!