Shukran mdau. Mabibo naskia ndio ipo mbali na chuo?Hostel first year chuo kitakupangia wewe utaenda kwenye notes board utacheki umepangiwa wapi na room no ngapi kama ni mabibo,main cumpos au hostel mpya pale mliman city.
Asante. Kati ya hizo ipi ipo karibu na busines school? Na kuna umbali gani kutoka hizo hosteli hadi class.Hostel utapata mkuu
Ipo mbali kidogo ila kuna daladala za chuo nauli 400 au kama wewe ni bahili utakuwa unatembea aka shato pori. Uzuri wa mabibo huduma nyingi hasa za msosi zinapatikana tena kwa gharama nafuu mamantilie wamejazana huduma zinapatikana hadi saa sita usiku yaani pame changamka sio kama main campus.kwa kutembea ni ndani ya dkk 20 kwa usafiri dakk 7 kama hakuna foleniShukran mdau. Mabibo naskia ndio ipo mbali na chuo?
Kutokea keepleft cha mlimani city hadi maeneo ya chuo ni kama umbali gani? Na je kati ya kukaa hosteli na kupanga kipi bora...?Ipo mbali kidogo ila kuna daladala za chuo nauli 400 au kama wewe ni bahili utakuwa unatembea aka shato pori. Uzuri wa mabibo huduma nyingi hasa za msosi zinapatikana tena kwa gharama nafuu mamantilie wamejazana huduma zinapatikana hadi saa sita usiku yaani pame changamka sio kama main campus.kwa kutembea ni ndani ya dkk 20 kwa usafiri dakk 7 kama hakuna foleni
Naomba nikujibu kwa uzoefu wangu, mwaka wa kwanza nilikaa hostel mabibo pale dah! niliona maisha sio poa kabisa ila mwaka pili nilipanga mambo yakawa safi sana.Kutokea keepleft cha mlimani city hadi maeneo ya chuo ni kama umbali gani? Na je kati ya kukaa hosteli na kupanga kipi bora...?
Naomba uniambie changamoto zake kama hutojali.Naomba nikujibu kwa uzoefu wangu, mwaka wa kwanza nilikaa hostel mabibo pale dah! niliona maisha sio poa kabisa ila mwaka pili nilipanga mambo yakawa safi sana.
Inategemea kama utakaa peke au na mwenzako ila changamoto kubwa ni pesa tu. Ukiwa na pesa utapanga mambo yako yawe sawa ila ukikosa na maisha ya mtaani noma japo inategemea unaishi vipi na majirani. Changamoto kubwa mkipanga wawili ni kupigana exile , mwenzako anaweza akaja na msichana wake akakaba hata wiki mbili kipindi hicho wewe unabangaiza kwa marafiki zako wengine kupata pa kulala.Naomba uniambie changamoto zake kama hutojali.
Na wanawake sio tatizo pia?
Kutokea mliman city nikaribu sana huitaji usafiri wowote ni dakk chache uko chuoniKutokea keepleft cha mlimani city hadi maeneo ya chuo ni kama umbali gani? Na je kati ya kukaa hosteli na kupanga kipi bora...?
Kwahiyo inawezekana kupanga mwenyewe hosteli? Au unazungumzia kupanga mtaani?Inategemea kama utakaa peke au na mwenzako ila changamoto kubwa ni pesa tu. Ukiwa na pesa utapanga mambo yako yawe sawa ila ukikosa na maisha ya mtaani noma japo inategemea unaishi vipi na majirani. Changamoto kubwa mkipanga wawili ni kupigana exile , mwenzako anaweza akaja na msichana wake akakaba hata wiki mbili kipindi hicho wewe unabangaiza kwa marafiki zako wengine kupata pa kulala.
Asante joohs,
Vyumba vya hosteli mnakaa wangapi wangapi? Inawezekana kukaa mwenyewe?
Campus ndio hizo alizofungua magufuli? Ziko umbali gani hadi udbs?Campus chumba mnakaa 2 plus kubebana mnakuwa 4. Kwa mabibo chumba ni cha watu 4 plus kubebana mnakuwa 8. (KUBEBANA ni kushare kitanda kimoja watu 2. MAISHA KUSAIDIANA NDUGU)
Campus ndio hizo alizofungua magufuli? Ziko umbali gani hadi udbs?
Yaani kwenye swala la cheti ndo usifanye mzaa narudia tena usifanye mzaa, hawakubali copy ya cheti chochote mimi wakati nafanya usajili nilisahau cheti cha kuzaliwa hosteli ila nilikuwa na copy yake ,vingine vyote nilikuwa navyo original na copy zake, kisa uvivu wa kurudi kukifata nikaenda kuwadanganya eti nimekisahau mkoani asee waliniambia wewe rudi tu huko ukakifate ndo ujekufanya usajili daa walejamaa wako serious zaidi ya unavyo fikiriNaomba kuuliza hivi.
Ud ntasajiliwa nisipokuwa na cheti original cha form four? Original kimepotea. Nina soft copy pamoja na photocopy zake.
Lazma uwe nacho og lasivyo admission letter haupati msela wangu alkua hana cha four hakupata admission adi karbia na mwisho wa semester one ndo akapata cheti chake akaenda fata admission yake then akajisajili vizuri tu... Af kuusu hostel mi nmekaa hall 5 ***** pale jau maji adi uchote chini af omba usiwe na rum uko juu kabisa utapanda ngazi na ndoo zako adi usome nmbr ila mi nlizoea.. ila semista ya pili nilienda kupanga but changamoto za kupanga ni gharama za vitu tu ila ka mko wawili haina noma life linakua poa mambo ya kupigana exile ni nyie wawili mkubaliane maana kodi mmelipa wote.. af hostel za magu hauwezi kaa semista ya kwanza cause kuna waliolipia semista iliyopita ila hostel hazikufunguliwa so i think semester hii watafidiwa nyie wapya mtakaa mabibo na hostel za chuo ,,hostel za campus adi udbs sio mbali kutembea daika kumi tu.. ka unatokea mabibo unaambia daladala ikushushe utawala then daika mbili adi udbs ila kijana ukifika chuo fanya mchakato uhame iyo bba uingie bcom itayokufaa... Ka ukitaka kupanga nichek mwnyw natafuta mtu wa kupanga nae me niko second year... Natumain yote ushajibiwaNaomba kuuliza hivi.
Ud ntasajiliwa nisipokuwa na cheti original cha form four? Original kimepotea. Nina soft copy pamoja na photocopy zake.
Yaani nakushauri anza mapema kukifatilia necta, kuna rafiki yangu alisahau cheti cha f4 kwenye gari asee mizunguko aliyo kutananayo sio ya nchi hii alizunguka huko necta, helsb, mpaka kuja kusajiliwa ilikuwa ishu pia bila kupata id huwezi sign boom hapo ndo kunashida sana ,na usipo sign la mara ya kwanza bodi haitumi tena fungu lako wana assume haupo chuoni sasa kufatilia mpaka ukapatiwa hiyo hela unaweza postponed mwakaNaomba kuuliza hivi.
Ud ntasajiliwa nisipokuwa na cheti original cha form four? Original kimepotea. Nina soft copy pamoja na photocopy zake.
Nashukuru sana mdau.Lazma uwe nacho og lasivyo admission letter haupati msela wangu alkua hana cha four hakupata admission adi karbia na mwisho wa semester one ndo akapata cheti chake akaenda fata admission yake then akajisajili vizuri tu... Af kuusu hostel mi nmekaa hall 5 ***** pale jau maji adi uchote chini af omba usiwe na rum uko juu kabisa utapanda ngazi na ndoo zako adi usome nmbr ila mi nlizoea.. ila semista ya pili nilienda kupanga but changamoto za kupanga ni gharama za vitu tu ila ka mko wawili haina noma life linakua poa mambo ya kupigana exile ni nyie wawili mkubaliane maana kodi mmelipa wote.. af hostel za magu hauwezi kaa semista ya kwanza cause kuna waliolipia semista iliyopita ila hostel hazikufunguliwa so i think semester hii watafidiwa nyie wapya mtakaa mabibo na hostel za chuo ,,hostel za campus adi udbs sio mbali kutembea daika kumi tu.. ka unatokea mabibo unaambia daladala ikushushe utawala then daika mbili adi udbs ila kijana ukifika chuo fanya mchakato uhame iyo bba uingie bcom itayokufaa... Ka ukitaka kupanga nichek mwnyw natafuta mtu wa kupanga nae me niko second year... Natumain yote ushajibiwa
Alichukua mda gani hadi kukipata cheti cha form four necta ?Yaani nakushauri anza mapema kukifatilia necta, kuna rafiki yangu alisahau cheti cha f4 kwenye gari asee mizunguko aliyo kutananayo sio ya nchi hii alizunguka huko necta, helsb, mpaka kuja kusajiliwa ilikuwa ishu pia bila kupata id huwezi sign boom hapo ndo kunashida sana ,na usipo sign la mara ya kwanza bodi haitumi tena fungu lako wana assume haupo chuoni sasa kufatilia mpaka ukapatiwa hiyo hela unaweza postponed mwaka