University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Alichukua mda gani hadi kukipata cheti cha form four necta ?
Cheti cha f4 mpaka baada ya mwaka unakilipia laki moja, alichokuwa anafatilia ni barua ya uthibitisho na ubaya zaidi hawakupi mkononi wanaituma direct chuoni hapo ndo kunakipigwa tarehe hadi utakata tamaa ,ila ukiwahi mapema watakurekebishia fasta labda mwaka jana kulikuwa na mamia ya wafanyakazi waliokuwa wanashughulikia vyeti vyao ili wasitumbuliwe maana walijaa hapo necta sio mchezo
 
Ok. Kwahiyo necta wakituma barua ya uthibitisho chuoni ntaweza kusajiliwa bila shida. Ofisi zao ziko wp?
Samahani, upo bussines? Au unafahamu kati ya biznes na bcom ipi bora?
 
Ok. Kwahiyo necta wakituma barua ya uthibitisho chuoni ntaweza kusajiliwa bila shida. Ofisi zao ziko wp?
Samahani, upo bussines? Au unafahamu kati ya biznes na bcom ipi bora?
Kama unatokea mwenge kabla hujafika stand ya makubusho mkono wa kushoto ukiulizia hata konda atakuonyesha jengo, barua ikishafika chuoni unasajiliwa kama kawaida, pia kuhusu bba na bcom naona bora bcom tena ukispecialize kwenye accountancy japo kidogo mimi sio mtaalam sana wa hizo mambo
 
Poa poa, shukrani
 
Mkuu vipii hauna marafiki wa kupanga nao hadi utake kupanga dogo. Unawezaje kuishii na mtu ambae haumjui tabiaa.
Dogo wa first year angalia usije ukatatuliwa marinda 😀 😀 ohoo
 
Mkuu vipii hauna marafiki wa kupanga nao hadi utake kupanga dogo. Unawezaje kuishii na mtu ambae haumjui tabiaa.
Dogo wa first year angalia usije ukatatuliwa marinda 😀 😀 ohoo
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hamna bnh dah tena unaeza kuta uyo first year mkubwa kuliko mm,, nna masela nliosoma nao toka seco ila bnh mambo ya exile, kufosishana ratiba c unajua mob psychology.. twende huku na we unaenda(usiseme will power sina) wale ni watu close mwisho wataanza sema unajitenga etc.. af saivi second yr nahitaji focus cause frst yr wengine hatukua serious tulikua na moto wa kufurahia ud[emoji23],, anyways kwani wanaopangwa hostel wanakua wanajuana? Hizo tabia hapana mkuu chuo mademu bwerereeee[emoji51]
 
😀 😀 😀 😀 sawa Mkuu.
Ghetto ulipata wapi na bei ilikuwaje
 
😀 😀 😀 😀 sawa Mkuu.
Ghetto ulipata wapi na bei ilikuwaje
Survey vyumba self ni kwanzia laki kwa mwezi,,mwenge pia bei hizo hizo (self) but ambazo za kushea vyoo ni kwanzia efsabini monthly maeneo ayo.. ukienda ubungo msewe au changanyiken kule rooms za kawaida ata elfamsini,,sinza pia bei ni hizo hizo za laki ndo chumba quality but ukitaka urahisi basi usilalmikie ubaya wa chumba
 
Poa me natafuta mawasiliano budget yangu 60k.
Ila habari za kushare naona sio bora nikomae mwenywe
 
Mkuu basi tuwasiliane Unisaidie room maeneo ya changanyikeni
 
Poa me natafuta mawasiliano budget yangu 60k.
Ila habari za kushare naona sio bora nikomae mwenywe
Hahah main factor ya colabo kijana ni kubana matumizi,, af ka upo business yan kupata loan ni bahati nasibu yan mana mwnyw nlikosa na division one zangu labda uwe orphan au ulpiga gvmnt,, ukikosa loan baba mbna utatafuta ustaarabu wa kubebana tu
 
Majibu mwisho wa siku huwa si chanya.
Hapana nina rafiki zangu tulipangwa wote udbs ila wakahamia coss(course za uchumi) watazungusha tu ili wasiattract watu zaidi wahame, but huwa wanakubali zikipita two weeks ndo sio rahisi ukubaliwe
 
Hahah main factor ya colabo kijana ni kubana matumizi,, af ka upo business yan kupata loan ni bahati nasibu yan mana mwnyw nlikosa na division one zangu labda uwe orphan au ulpiga gvmnt,, ukikosa loan baba mbna utatafuta ustaarabu wa kubebana tu
Me niko Coet afu Continous ..
So I know game inaendaje. habari za kupigana exile ndo sizitaki tena
 
Mwasiliano siweziii pata sio..
Mawasiliano amna seem zipo nyuma ya mawasiliano(sinza) ambapo apo labda uongeze ifike ata 80 mana rum tuliokaa na wasela ilkua 170k kwa mwezi af usually kodi unatoa kwa miez sita plus ya dalali mwezi mmoja so ni kama kodi ya miez saba apo
 
Me niko Coet afu Continous ..
So I know game inaendaje. habari za kupigana exile ndo sizitaki tena
Hahah kumbe we mkongwe kabisa,,basi kumbe pesa za heslb unatumbua wacha ubaili kidogo panga ata rum ya 80
 
Hapana nina rafiki zangu tulipangwa wote udbs ila wakahamia coss(course za uchumi) watazungusha tu ili wasiattract watu zaidi wahame, but huwa wanakubali zikipita two weeks ndo sio rahisi ukubaliwe
Niliomba sana nihamie Law toka baed lakini mwisho wa siku niliambulia manyoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…