University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Aliyechaguliwa udsm bba anijulishe. Ama ambaewanaijua hiyo bba ikoje changamoto zake na wapi unaweza kupata job?
 
Naomɓa kuuliza kwa wale wazoefu wa udsm .. HIVI KUWAHI AU KUCHELEWA KUCHUƘUA ADMISSION LETTER INA ATHARI GANI ??? HASAHASA KWENYE MAMƁO ƳA HOSTEL
 
Naomɓa kuuliza kwa wale wazoefu wa udsm .. HIVI KUWAHI AU KUCHELEWA KUCHUƘUA ADMISSION LETTER INA ATHARI GANI ??? HASAHASA KWENYE MAMƁO ƳA HOSTEL
Ngoja kwanza. Admission letter zinapatikana online au chuo?
 
Naomɓa kuuliza kwa wale wazoefu wa udsm .. HIVI KUWAHI AU KUCHELEWA KUCHUƘUA ADMISSION LETTER INA ATHARI GANI ??? HASAHASA KWENYE MAMƁO ƳA HOSTEL
Halafu unaongelea hosteli. Umeshapata au zipo za kutosha?
 
Jamani kwa wale mnaosoma Bachelor of Science General Udsm na ambao mshamaliza kozi. Naomba kujua ajira zake ni zipi? Na kunasoko kweli kwa degree hii?
 
Chuo..japoƙuwa hata kwenye weɓsite zipo ɓut ni muhimu kuchukulia chuo
Kwenye website mbona sijaiona. Hebu Nielekeze ili nijue hata natakiwa kuwa na nini na nini na ada.
 
Nenda kwenye college&school then utaona download utaona fomu tofauti tofauti kama registration form,medical form n.k
 
Nafurahi kuchaguliwa kile nilichokitaka kusomea muda mrefu Bachelor of art in music
 
Ninasikitika. Mimi nimesoma hapo postgraduate.Nilitarajia kupata uzoefu zaidi lakini naona hali ya hewa imechafuka.Pole mimi.
 
Mbona hizo za udom? Nenda kwenye website ya chuo.
 
Back
Top Bottom