Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ndebile ni viploRasiii
Ndebile ni viploRasiii
MafweleNdebile ni viplo
Kilugha gani hiki?Mafwele
Iyo mbona ndogo kuna vyuo ni 50k kukodisha joho kwa mfano IAAUniversity of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
View attachment 3490785
Ni wakati wa kujikomboa dhidi ya huu unyonyaji..Iyo mbona ndogo kuna vyuo ni 50k kukodisha joho kwa mfano IAA