"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them

"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them

Ukizaliwa muislam sio tatizo lako........tatizo ni kufa ukiwa bado muislam............mpokee YESU wewe huangaze maisha yako..........KRISTOOO...............................
 
Kuna makafiri hawana roho mbaya kama yako. wewe unaroho mbaya hatari sana
Laiti angejua vita ya kimbari waliokimbilia kanisani walichomwa moto wakiwa hai ila walioingia msikitini walipata amani
Dunia hii ina mambo ambayo hutegemei yawe na yanakuwa, ila mwenye chuki huwa mwisho anapata maradhi ya moyo tu na uhasidi mbaya sana
 
Utu kwanzs ndio dini zifuate ndio mafundisho tuliyopewa kwenye dini yetu. Hongera sana kwa hao jamaa nadhani wengine watajifunza kuheshimu imani za wengine kuliko kuwa wafanya fujo na kuvuruga amani
 
Wamarekani na wazungu wengi washaachana na ukiristo,ni wapagani,mambo ya Mungu kufa ili watu wasamehewe dhambi wameona hayana logic,wapo busy na quantum physics

Labda ungesema UK, London na Europe kwa ujumla ila Marekani ndo kabisa bado wanadini na ukristo mwingi tu... Marekani kuna makanisa mengi tu hadi Kanye West analo.
 
Back
Top Bottom