Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hujui kwamba muislamu kuua asiye muislamu ni Sunna au unajitoa ufahamu?Nani anawalipua?
Vita na mauaji mfadhili nyie kulaumu mlaumu wakijitetea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kwamba muislamu kuua asiye muislamu ni Sunna au unajitoa ufahamu?Nani anawalipua?
Vita na mauaji mfadhili nyie kulaumu mlaumu wakijitetea.
Lete ushahidi.Hujui kwamba muislamu kuua asiye muislamu ni Sunna au unajitoa ufahamu?
Pambana na mzee wa upako kwanzaUkizaliwa muislam sio tatizo lako........tatizo ni kufa ukiwa bado muislam............mpokee YESU wewe huangaze maisha yako..........KRISTOOO...............................
Wewe unavyomuona ana akili huyo?.......huyu anatumia dini na wajinga ili kuishiPambana na mzee wa upako kwanza
Wamekufa wakiwa sio waislamUna ushahidi na unayoropoka?
Maana mtume kazaliwa hakuwaona baba na mama yake wote walifariki akiwa mdogo sana.
Alianza baba alifariki mtume akiwa hajazaliwa kesha akafariki mamaake mtume akiwa bado mchanga.
Shida yenu mnakaririshwa uongo wa kumchafua mtume Muhammad halafu hauna ushahidi wowote.
DOGO UNATOKWA POVU SEHEMU ZAKO ZOTE ZA WAZI. ZOOOOOTE.QATAR,KUWAIT,BAHRAIN,SAUDI ARABIA KUNA MAKANISA NA WAKRISTO WAPO.
UACHE UPOPOMA.
Kwa hiyo Israel Wakristo wanaua Waislamu?Aweke kwani kuna nchi ya Kiislamu inawauwa wakiristo, Wayahudi ama Wapagani kama anavyofanya Israel kuuwa waislamu?
Kama kawaida, Lawama zote kwa John.Nani anawalipua?
Vita na mauaji mfadhili nyie kulaumu mlaumu wakijitetea.
Ww bila shaka utakuwa hujaiva kwenye uislamu jitahidi uwe unasoma Kuruani uwe kama wenzakoLete ushahidi.
Maana ndio kwanza nakusikia wewe.
Ingelikua hivyo Qatar,Dubai na Saudi arabia kuna wakristu na wapagani na makanisa yapo ila hawauliwi hao wasiokua waislam.
Iran kuna mpaka masinagogi ya wayahudi ila hawauliwi.
Kuna muda unatakiwa utafakari ili uongee usiropoke.
Lawama ama mnakimbia uhalisia!?Kama kawaida, Lawama zote kwa John.
Huu ndio ushahidi unaoleta!?Ww bila shaka utakuwa hujaiva kwenye uislamu jitahidi uwe unasoma Kuruani uwe kama wenzako
Israel wenyewe hawaupendi ukristu.Kwa hiyo Israel Wakristo wanaua Waislamu?
Tuwekee basi kule Syria IS wakiwa wanawalinda Wakristo.
Umeelezwa ukweli.DOGO UNATOKWA POVU SEHEMU ZAKO ZOTE ZA WAZI. ZOOOOOTE.
Una uhakika gani!?Wamekufa wakiwa sio waislam
Umeelezwa ukweli.
Na kweli wewe popoma,tukana utakavyo sema hata natokwa kamasi sehemu zote ila huo ndio ukweli.
Arabuni kuna makanisa na wakristu wanaabudu vizuri tu.
Mathalan wafanyakazi wa Aljazeera English ni wakristu na wanavaa mavazi wanayotaka na wanaenda kanisani hapo hapo Doha kila jumamosi na jumapili mathalan;
-Alessandro Rampietti.
-Kimberly Halkett.
-Teresa Bo.
n.k n.k hawa wote wanaishi Doha Qatar wanavaa watakavyo na wanakula watakavyo ila kiheshima na wanaabudu vizuri tu ukristu wao.
We tukana mie nitakupa fact ili UPOPOMA ukuondoke.
Nadhani wewe ndio wale wanaookoteza makala pasi na kuzisoma.Sijui kama lugha hii inapanda kwako
![]()
Saudi Arabia
What does persecution look like in Saudi Arabia? It's very risky to become a Christian in Saudi Arabia. Not only is it illegal...www.opendoorsus.org
![]()
Where is the Bible banned?
Around the world, the Bible is forbidden, restricted and opposed. Here's where it's hardest for Christians to get a copy of God's Word.globalchristianrelief.org
Soma na ujiumbue kutoka kwa article yako mwenyewe.Sijui kama lugha hii inapanda kwako
![]()
Saudi Arabia
What does persecution look like in Saudi Arabia? It's very risky to become a Christian in Saudi Arabia. Not only is it illegal...www.opendoorsus.org
![]()
Where is the Bible banned?
Around the world, the Bible is forbidden, restricted and opposed. Here's where it's hardest for Christians to get a copy of God's Word.globalchristianrelief.org
Unaruhusiwa kusoma kisirisiri lakini mkiingia nchi za wenzenu mnataka na kupiga adhana kabisa na mispika kuanzia saa kumi asubuhi, Kubishana na akili kama yako ni kupoteza muda tuuIla nchi za kiislam kama Saudi arabia unaruhusiwa kuwa na biblia ila usome ndani kivyako vyako usisome publicly.
View attachment 2983145
Unajua maana ya kisirisiri?Unaruhusiwa kusoma kisirisiri lakini mkiingia nchi za wenzenu mnataka na kupiga adhana kabisa na mispika kuanzia saa kumi asubuhi, Kubishana na akili kama yako ni kupoteza muda tuu