Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Dini zote ni hadithi tuu , amini au usiamini haijalishi, ukiangalia deep ni power and control wanatafuta, ila ni kweli dini zote zina mambo mazuri pia kama kuwatishia ukifanya uzinzi au wizi utachomwa moto