Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Vipi North Korea uislam unaruhusiwa 😁Unajua maana ya kisirisiri?
Tofautisha kisirisiri na kusoma sehemu maalum.
Unaruhusiwa kusoma ukiwa mwenyewe na sehemu maalum za kufanyia ibada yako ila sio hadharani katika mikusanyiko ya watu.
Una kichwa kigumu sana.
Pia nimeweka taarifa za Qatar kuwa na makanisa ambapo nako biblia isomwe majumbani na makanisani ila sio public areas.
North korea wameifunga biblia hairuhusiwi kabisa,je nao North Korea ni waislam??
Toka mwanzo nilishaona kichwani ni mweupe wewe.