TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Hizo kura zenu mnazitambua nyie watu wa Odinga na MagufuliWe have a total of 12 tallying centres in Kenya, in Kenya and the clouds. We will keep you updated with verified results from our agents throughout the night. Keep it here.
Strong hold za JubileeHizo kura alizonazo Uhuru zinatoka pande zipi?
Kwenye ngome zake au...?
Mbona ya IEBC nayo matokeo mwendo wa jongoo, umeme umekata nini?
Mkuu tuliza mshono. Latest hii hapaHehehe!! Tuliza, mwisho wa siku kura zilizopigwa ndio zitaamua mshindi, mimi hapa nipo kazini nacheck baada ya kama masaa mawili wamefikia wapi, maana ukifuata hatua kwa hatua utapata pressure.
Yes he is.Kenyatta is the next president of Kenya
Hata Mimi nilibadiri gia anganiMimi nilitaka Raila ashinde lakini baada ya Magufuli kumsupport basi nataka Uhuru ndo ashinde
Aisee, huko nyumban kwenu CCM si mlivamia na makombora vivyo vituo, naona kwa majiran mnaulizia hadi idadi ..How many so far?
Mkuu tuliza mshono. Latest hii hapaView attachment 561340