UNSC kusimamisha vita Gaza

Magaidi lazima wamalizwe Hamna namna
Israel hapoi wakati kikao cha vikoba kinasuasua kuendelea wao wanasema๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

IDF ground operation to 'expand to additional areas' - defence minister​

Israel's Defence Minister, Yoav Gallant, has said that Israeli military ground operations will โ€œexpand to additional areasโ€ in the Gaza Strip, Israeli media reports say.
While touring the Gaza border, Gallant said: "Khan Younis has become the new capital of terror. We will not let up in our action there until we get to the senior Hamas officials", the Times of Israel reported, citing quotes published by his office.
 

Mwenye nchi mwananchi siyo Gallant:

 
Mwenye nchi mwananchi siyo Gallant:
sawa kipondo Gaza kinaendelea leo tu peke yake namba inasomeka digiti 3 wamewahishwa panapawastahili-mwenye nchi ni mwananchi siyo Gallant๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Ni mpera mpera mwanzo mwisho. Uzuri Israeli hasikilizi hizi ngojera.
Yupo busy anaendelea na mapambano dhidi ya ugaidi
 
Acha ujinga. Hamas alipovamia Israel kulikuwa na vita? Kama kulikuwa na vita, ilipiganwa kwa muda gani mpakakuwe na pouse? Wewe mzee naona unakuwa mwili tu.
Hakuna kusimamisha vita mpaka Gaza iwe huru dhidi ya ugaidi.
 
Nachopenda israel anatoa dozi tu hasikilizi kelele za waanusana mavi misikitini
 
Na kikao cha vikoba kimeahirishwa kitaendelea kesho๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿคฃ
Israeli hana muda wa kuzisikiliza hizo ngonjera kwa sababu yeye ndio anajua uchungu wa kuvamiwa na magaidi.
 
Unajua nini maana ya gaidi?

Au ndio mpaka muambiwe na marekani ndio muanze kuimba?
Gaza pale wote wanaishi ni magaidi inapaswa wauliwe vizee vyao vibibi vitoto vimama na migaidi yenyewe israel mpaka sasa kaua 20 ni 1% ya idadi ya migaidi inapaswa migaidi milion ife ambayo ni nusu ya migaidi yote ya gaza
 
Gaidi ni yule alievamia na kuuwa raia wasiokua na hatia Oct 7.

Gaidi ni yule aliyevamia watu katika tokea 1948 na kuendelea kuwakalia, kuwataka na kuwakalia hadi Leo.
 
Gaidi ni yule aliyevamia watu katika tokea 1948 na kuendelea kuwakalia, kuwataka na kuwakalia hadi Leo.
Point of correction. Lile ni eneo la Israeli tangu enzi na enzi za mababu
 
vipi kuhusu freedom ya somalia, vipi kuhusu freedom ya sudan, vp kuhusu freedom ya libya.. congo... matatizo ya waafrica hayapewi uzito na hao wazungu na waarabu, ila matatizo yao wanalazimisha tushiriki kutatua, mfano vita za ukraine na russia na sasa israel na hamas.
nani ataisemea africa kimataifa.. kule nigeria boko haram wanateka watu kila siku, nani atawaondolea shida vijiji masikini dhidi ya waasi
 

Maswali yako nadhani kama genuinely unataka kuelewa nakujibu kikamilifu:

1. Tambua tofauti ya matatizo ya Congo , Sudan au somalia kulinganisha na Ukraine au Palestina.

2. #1 hapo, pana matatizo ya ndani kwa upande mmoja kulinganisha na uvamizi au ukoloni kutokea nje kwa upande mwingine.

3. Matatizo ya ndani ni kama yetu na CCM, au Azimio na Kenya kwanza huko Kenya.

5. Kwamba CCM hataki kutupa jatiba mpya na sisi tupo tunakenua au kukoroma, kwa nini hilo kuwa chochote mtu yeyote kufanya kutokea nje?

6. Kwamba wasomali wanauwana kwa kugombea madaraka au upumbavu au werevu wowote wao? Imhusu nani hiyo zaidinyao wao?

6. Hapo #5 ni sawa na wa nje kuingilia Mwabukusi anakomaa na katiba mpya au DP World..

7. Mvamizi na mkoloni Anatoka nje kunyanyasa wengine? Hilo ni global issue: Hili Hadi UN Inahusika lakini si kwa DP World:



8. Ndiyo sababu Nyetere akasema uhuru wetu hauwezi kuwa safi hadi Afrija yote iwe huru.

9. Tatizo ulilo nalo ni la kutowiva ki falsafa:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

10. Kwamba Labda wewe hata unadhani unataka katiba mpya na hujui umuhimu wa kuisemea haki kokote uliko?

11. Kama #10 hapo jibu lako ni ndiyo basi tambua wewe ni CCM uliyechangamka tu; wewe na wao baba mmoja mmoja

12. #11 hapo kuna hata viongozi upinzani wako kama wewe; tutapata katiba mpya na viongozi wa aina yenu?

13. Mwana mageuzi, yaani mpenda haki hataulionea haya haki kokote iliko!

14. #13 hapo huyu mwamba ni mfano halisibwa kuigwa:



Habari ndiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ