vipi kuhusu freedom ya somalia, vipi kuhusu freedom ya sudan, vp kuhusu freedom ya libya.. congo... matatizo ya waafrica hayapewi uzito na hao wazungu na waarabu, ila matatizo yao wanalazimisha tushiriki kutatua, mfano vita za ukraine na russia na sasa israel na hamas.
nani ataisemea africa kimataifa.. kule nigeria boko haram wanateka watu kila siku, nani atawaondolea shida vijiji masikini dhidi ya waasi
Maswali yako nadhani kama genuinely unataka kuelewa nakujibu kikamilifu:
1. Tambua tofauti ya matatizo ya Congo , Sudan au somalia kulinganisha na Ukraine au Palestina.
2. #1 hapo, pana matatizo ya ndani kwa upande mmoja kulinganisha na uvamizi au ukoloni kutokea nje kwa upande mwingine.
3. Matatizo ya ndani ni kama yetu na CCM, au Azimio na Kenya kwanza huko Kenya.
5. Kwamba CCM hataki kutupa jatiba mpya na sisi tupo tunakenua au kukoroma, kwa nini hilo kuwa chochote mtu yeyote kufanya kutokea nje?
6. Kwamba wasomali wanauwana kwa kugombea madaraka au upumbavu au werevu wowote wao? Imhusu nani hiyo zaidinyao wao?
6. Hapo #5 ni sawa na wa nje kuingilia Mwabukusi anakomaa na katiba mpya au DP World..
7. Mvamizi na mkoloni Anatoka nje kunyanyasa wengine? Hilo ni global issue: Hili Hadi UN Inahusika lakini si kwa DP World:
8. Ndiyo sababu Nyetere akasema uhuru wetu hauwezi kuwa safi hadi Afrija yote iwe huru.
9. Tatizo ulilo nalo ni la kutowiva ki falsafa:
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
10. Kwamba Labda wewe hata unadhani unataka katiba mpya na hujui umuhimu wa kuisemea haki kokote uliko?
11. Kama #10 hapo jibu lako ni ndiyo basi tambua wewe ni CCM uliyechangamka tu; wewe na wao baba mmoja mmoja
12. #11 hapo kuna hata viongozi upinzani wako kama wewe; tutapata katiba mpya na viongozi wa aina yenu?
13. Mwana mageuzi, yaani mpenda haki hataulionea haya haki kokote iliko!
14. #13 hapo huyu mwamba ni mfano halisibwa kuigwa:
Habari ndiyo hiyo.