DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Endelea kuchangamka.😹😹Nampenda sasa
😂😂😂
Weka mambo wazi sisi ni watu wakubwa😂😂😂😂😂Endelea kuchangamka.
Utakipata unachokitafuta😁
I once said the same words in a different way, but now am still hereDear Friends,
As I prepare to say goodbye, I find myself reflecting on the wonderful moments we've shared together. Each laugh and each discussion we've shared has made my life richer and fuller. I'm grateful beyond words for the love, support, and joy that each of you has brought into my life.
Please know that even though I may not be with you in body, my spirit and the memories we've created together will always remain with you.
Thank you for being my companions on this journey. I hope you find comfort in knowing that I am at peace, and my heart is filled with love for each of you.
Until we meet again,
Vintage1q.
Siku ikifika utathibitisha mwenyeweThibitisha
Siku ipi ? Thibitisha acha blabla za kiimaniSiku ikifika utathibitisha mwenyewe
Ndo mana nataka blah blah zangu za imani nibaki nazo mwenyewe, hulazimishwi kuamini.Siku ipi ? Thibitisha acha blabla za kiimani
Wapi nimesema unanilazimisha kuamini? Ukiweka kitu humu ni mali ya wana jamii forum wote kama hauna uwezo wa kuthibitisha unapiga kimya tuNdo mana nataka blah blah zangu za imani nibaki nazo mwenyewe, hulazimishwi kuamini.
Haya napiga kimya tuWapi nimesema unanilazimisha kuamini? Ukiweka kitu humu ni mali ya wana jamii forum wote kama hauna uwezo wa kuthibitisha unapiga kimya tu
Kwenye uzi wake anadai ni classmate wake,jamani mtaani kugumu tushikane mkono.kaka kaka jibu ujumbe wangu pm plse...........wikiijayo tuonane vintage usifanyechochote. Plse nijibu ujumbe kwanza.
alikutaja kama mtu uliyeachana na manzi ako kwa kutaka kumsaidia tueleze shida ilikua ni nini? nimefurahi kuona amesaidikaAmenusurika!
Allah atakuwa mvivu huyo 🤣.
Ila, allah aliyeshindwa kuvilinda vitoto vya Gaza ndo ataweza kumlinda/ kumsaidia mtu wa JF?
Hapo ndo ujue dini ni magumashi tu. Hakuna cha allah, mtume, wala yesu.