Until we meet again in paradise, bye!

Status
Not open for further replies.
Tuambie kabisa msiba utakua wapi tuje kufinya mpunga
 
kama ni maswala ya kazi na ajira.. naomba uni pm kama uko tayari.. uje Arusha nikuajili kampun ya utalii .. natafuta operational manager
 
Acha Kudeka Kaka,,Kufa Tu Hautapunguza Chochote Wala Ongeza Chochote Katika Huu Ulimwengu Na Wala Hautakuwa Wa Kwanza Wala Wa Mwisho Kufa,,Maisha Lazima Yaendelee,,Kabla Hujafa Jitahidi Ule Kitimoto Rosti 1½ +Jani Korofi Na Bia Hata 3,,Kwa Maana Safari Ni Ndefu Kushiba Muhimu.
 
kaka kaka jibu ujumbe wangu pm plse...........wikiijayo tuonane vintage usifanyechochote. Plse nijibu ujumbe kwanza.
Kwahiyo kaka jambazi ukaanza kujipa msaada kabisa ili kuingiza watu wengine mkenge... JF wabayaaa (kwa sauti ya mwaisa) ni fezea
 
Tafadhali, kabla hujaondoka, nakushauri okoka kwanza, mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako ili huko unakoenda uende mahali pema. wokovu ni kitu halisi na cha muhimu kuliko hata hawa unaowaaga. na tunaokolewa kwa njia ya Yesu Kristo pekee ndiye alimwaga damu kama gharama ya kutuokoa, hakuna wokovu kwa mohamad, kwa maria, yosefu au yeyote, ila kwa Yesu KRisto. ukifa bila kuokoka, unaenda moja kwa moja motoni hivo usifanye mchezo ushauri huu, pls, Mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

sema sala hii:

Bwana Yesu Kristo, mimi ni mwenye dhambi, nahitaji wokovu toka kwako, nahitaji uzima toka kwako, naamini wewe ulitoa kafara la Damu yako kwa ajili ya kulipia ukombozi wangu, hakuna mwingine aliyeninunua ila wewe, natubu dhambi zangu zote (zitaje unazozijua) ninazozijua na nisizozijua, naomba unisafishe kwa Damu yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha uzima,kwa Jina lako Takatifu ninaomba, Ameni.

kuanzia sasa umeokoa, maisha yako yapo mikononi mwa Yesu, ishi maisha matakatifu, utamwona Mungu. Mungu akusaidie.
 
Kaka jambazi ukaendelea kujichatisha.. ukaona ukituwekea kingereza cha Gpt tutanasa kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…