shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 62
Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA. Huyu kijana alikuwa ni kijana machachari na alikuwa na msimamo mkali asiyependa yumbishwa. Nilibahatika kufanya nae kazi MBEYA baadae akahamishiwa mjini kongwa na kuwa afisa wa TRA wilaya.
Mnamo mwaka 2010 aliingia kwenye mgogoro na ndugu Job Ndugai kipindi hiko akiwa ni mbunge. Sababu kubwa ya bifu hilo ni muheshimiwa Ndugai kukataa kulipa kodi kwenye oil stations zake zilizopo wilayani KONGWA. Sasa huyo jamaa alimuandikia barua mheshimiwa Ndugai kuhusu suala la kulipa kodi ila Ndugai akapuuza. Akamuandikia nyingine kupitia mke wake ambaye ni daktari wa wilaya ya KONGWA na kumueleza walipe kodi but mheshimiwa Ndugai kwa jeuri akakataa. Huyo kijana alimuandikia barua ya kumuita ofisini kwake kumueleza alipe kodi pamoja na kumueleza kuwa atamchukulia hatua kali za kisheria. Bwana Ndugai alikuja ofisini kwake kumtukana na kumtishia maisha lakini yule kijana alisimamia msimamo wake. Kuona hivyo mheshimiwa sana alilipa ile kodi but alimuhaidi kuwa atakiona cha moto.
Baada ya mwezi mmoja tokea tukio hilo, marehemu alirudi chuoni lakini cha ajabu alikufa katika mazingira ya ajabu. Akiwa mitaa ya Gairo akitokea Kongwa kwenda Dar chuoni alikutana na roli lililokuwa kasi ikambidi asogee pembeni kulipisha hilo roli yeye akiwa kwenye gari lake lakini lile roli lilimfuata huko huko pembeni na kumgonga ila cha ajabu alikufa peke yake kwa kupasuka kichwa wakati kwenye gari kulikuwa na watu wengine wanne.
Maswali ya kujiuliza. Je ni kwanini afe peke yake? Kwanini ajali itokee baada ya kumbana mheshimiwa alipe kodi?
Nimeandika haya baada ya kumkumbuka jamaa yangu pia nawaonea huruma wale vijana waliotuma sms na kumpigia simu Ndugai na kumtukana jamaa hafai.
R.I.P STANLEY NYAMBOGA nitakukumbuka milele ndugu na rafiki yangu.