Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
****** kumbe na yeye ni MAFIA, hii mbinu nakumbuka ilimuua Sokoine, pia maadui wa Mwakyembe walitaka kuitumia kummaliza Mwakyembe lakini walishindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli bro ila mungu yupo atanipigania
Kwani nyie mlikuwa hamjui? Mama na baba yake si walitolewa kafara 2005 na 2010 ili apate ubunge! Watu kule kwao wanamuogopa. Ukijulikana una dalili za kugombea tu ubunge, basi watoto wako au mke wako wanakufa kiajabuajabu. Sasa hivi anataka kumrithisha ubunge mtoto wake wa kike.
Kuna kipindi alimtorosha mwanafunzi wa kike akaenda kumpangia nyumba Dodoma. Serikali ikazima ishu hii!!! Mnacheza na wauaji hawa nyie!!!!
Hebu kaka naomba unisaidie kitu kidogo tu , fuatilia kama Ndugai anaendelea na hizo biashara zake na kama analipa kodi , tuletee hapa Jf , tutashughulika Naye , haya mambo yake ya ushirikina yanaishia hukohuko kwao , fanya hivyo kaka.
Ni kweli kabisa.. Ndugai ni mshirikina sana. Mganga wake yuko Kijiji cha Mbande, njia panda ya kwenda Kongwa ukiwa Barabara kuu ya Dodoma Morogoro/Dar.
Wamekula na kuvimbiwa. Hawajui kama nao kuna siku watakufa.Personally naamini uchawi upo!
Alafu ivi unapochukua hatua ya kukiondoa kiumbe cha mwenyezi duniani kwa matakwa yako ivi wewe utaishi milele?
Ngoja nawe ufe uone mziki wake mbele ya mola.
Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.
Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA. Huyu kijana alikuwa ni kijana machachari na alikuwa na msimamo mkali asiyependa yumbishwa. Nilibahatika kufanya nae kazi MBEYA baadae akahamishiwa mjini kongwa na kuwa afisa wa TRA wilaya.
Mnamo mwaka 2010 aliingia kwenye mgogoro na ndugu Job Ndugai kipindi hiko akiwa ni mbunge. Sababu kubwa ya bifu hilo ni muheshimiwa Ndugai kukataa kulipa kodi kwenye oil stations zake zilizopo wilayani KONGWA. Sasa huyo jamaa alimuandikia barua mheshimiwa Ndugai kuhusu suala la kulipa kodi ila Ndugai akapuuza. Akamuandikia nyingine kupitia mke wake ambaye ni daktari wa wilaya ya KONGWA na kumueleza walipe kodi but mheshimiwa Ndugai kwa jeuri akakataa. Huyo kijana alimuandikia barua ya kumuita ofisini kwake kumueleza alipe kodi pamoja na kumueleza kuwa atamchukulia hatua kali za kisheria. Bwana Ndugai alikuja ofisini kwake kumtukana na kumtishia maisha lakini yule kijana alisimamia msimamo wake. Kuona hivyo mheshimiwa sana alilipa ile kodi but alimuhaidi kuwa atakiona cha moto.
Baada ya mwezi mmoja tokea tukio hilo, marehemu alirudi chuoni lakini cha ajabu alikufa katika mazingira ya ajabu. Akiwa mitaa ya Gairo akitokea Kongwa kwenda Dar chuoni alikutana na roli lililokuwa kasi ikambidi asogee pembeni kulipisha hilo roli yeye akiwa kwenye gari lake lakini lile roli lilimfuata huko huko pembeni na kumgonga ila cha ajabu alikufa peke yake kwa kupasuka kichwa wakati kwenye gari kulikuwa na watu wengine wanne.
Maswali ya kujiuliza. Je ni kwanini afe peke yake? Kwanini ajali itokee baada ya kumbana mheshimiwa alipe kodi?
Nimeandika haya baada ya kumkumbuka jamaa yangu pia nawaonea huruma wale vijana waliotuma sms na kumpigia simu Ndugai na kumtukana jamaa hafai.
R.I.P STANLEY NYAMBOGA nitakukumbuka milele ndugu na rafiki yangu.
Kwani nyie mlikuwa hamjui? Mama na baba yake si walitolewa kafara 2005 na 2010 ili apate ubunge! Watu kule kwao wanamuogopa. Ukijulikana una dalili za kugombea tu ubunge, basi watoto wako au mke wako wanakufa kiajabuajabu. Sasa hivi anataka kumrithisha ubunge mtoto wake wa kike.
Kuna kipindi alimtorosha mwanafunzi wa kike akaenda kumpangia nyumba Dodoma. Serikali ikazima ishu hii!!! Mnacheza na wauaji hawa nyie!!!!
Huyu si ndio aina ya mijitu iliyojaa huko magambani! Uchawi kila sehemu!