Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Untold story: Ndugai na kifo cha afisa wa TRA Wilaya ya Kongwa

Status
Not open for further replies.
Nadhani haya ya kutorosha binti wa kike na kukwepa Kodi atakuwa na kesi ya kujibu na inaonesha kwamba hafai.., hayo mengine ni vigumu kujua ukweli wake

Yana ukweli usiopingika. Wananchi wa Jimbo lake wanajua hilo na walipewa zawadi za khanga, mashuka na mablanketi wakati wa msiba wa mama yake. Uliwahinkuona wapi mtu kafiwa halafu anawapa zawadi waliokuja msibani? Mimi ndugu yangu alinionyesha shuka alilopewa. Alipomuua baba yake,alialika Kongwa nzima kwenda kula pale kuanzia asubuhi, mchana na jioni
 
Katika hilo la ajali nadhani mtakuwa mnanwonea Mh Ndugai. Najaribu kujiuliza hiyo precision aliyokuwa nayo dereva wa lori ya kuchagua kuua mtu mmoja tu!

Mbona ajali zinatokea nyingi tu na wanakufa watu wachache na mara nyingine inaweza kuwa basi la abiria lakini inatokea anakufa mtu mmoja tu! Labda kama kuna taarifa zaidi hujaziweka katika story yako kuhusiana na hiyo ajali.
 
Yana ukweli usiopingika. Wananchi wa Jimbo lake wanajua hilo na walipewa zawadi za khanga, mashuka na mablanketi wakati wa msiba wa mama yake. Uliwahinkuona wapi mtu kafiwa halafu anawapa zawadi waliokuja msibani? Mimi ndugu yangu alinionyesha shuka alilopewa. Alipomuua baba yake,alialika Kongwa nzima kwenda kula pale kuanzia asubuhi, mchana na jioni

Point yangu ni kwamba kwa issue ya kutorosha mtoto wa kike na kukwepa kodi una kila haki ya kumuanika na hata kumpeleka kwenye magazeti ya Udaku kuliko hayo mengine yataishia tu kwa watu kusema chini chini na yeye kusema anaonewa
 
Kwa kawaida na utamaduni wa kitanzania, mfiwa ndiye anaepokea rambirambi za vitu kama sukari, mchele, mahindi na pesa. siyo mfiwa kutoa.
 
Hiyo belti ya kongwa, mpwapwa na kibakwe imekaa vibaya sana ndiyo maana hawaendelei! niliwahi kusema hapa...si ndugai tu hata huyo teu wa mpwapwa, na george wa kibakwe! hawa walichaguliwa kwa bahati mbaya....
 
Wachawi woote hawana nafasi kwenye ufalme wa Mungu na malipo ni hapa hapa duaniani!Kama ni kweli ni aibu sana na utawakuta kanisani mbele mbele wanatoa sadaka kubw akubwa kumbe ni kafara!shame on you wachawi woote!
 
Tatizo la nchi yetu viongozi wanajiona kama Miungu watu na kuwa sheria kwao haina makali. Kwa wenzetu hakuna cha waziri wala nani sheria inasimamiwa hata kwa makosa yaliyofanywa muda mrefu uliopita. Huko Uingereza leo waziri mmoja aliyejiuzulu hivi karibuni (CHRIS HUHNE) amehukumiwa kwenda jela na mke wake wa zamani (VICKY PRYCE) kwa kosa la kuendesha gari hovyo na kuzuia sheria kuchukua mkondo walilofanya takribani miaka 20 iliyopita. Lakini kwa Tanzania kila kiongozi anajifanyia jinsi atakavyo. http://www.bbc.co.uk/news/uk-21737627
 
na wasiwasi hata na hiyo masters unayochukua? hii ndo reasoning ya masters graduate? too low.
 
Hii JF yetu ya siku hizi hii, yaani mmeamua kuhalalisha mauchawi yenu humu. Itikadi zangu na Ndugai ni hasi na chanya ila hii perception nayo kwangu ni hasi na chanya. Mashuhuda bwana eti alisogea pembeni Lori likamfata hukohuko
 
images
images
images



Job Ndugai, kaazi kweli kweli
 
Hebu kaka naomba unisaidie kitu kidogo tu , fuatilia kama Ndugai anaendelea na hizo biashara zake na kama analipa kodi , tuletee hapa Jf , tutashughulika Naye , haya mambo yake ya ushirikina yanaishia hukohuko kwao , fanya hivyo kaka.
 
Masikini apumzike kwa amani. Ila ajue nae ipo siku yake atakayokumbana na gharika kuu tena dada yake Bi kiroboto.
 
Iwapo jamaa alimkomalia kulipa kodi, na hatimae akafa.... Si ajabu wote tunaomwandika hapa tukagongwa na mayai viza na kufa kabisa...
 
Mungu atalipa wote hapa duniani ni wapita njia tu,kuna siku Mungu atawaumbua.Poleni sana,
Pia Mungu ndiye mwenye uwezo wa kuua na kuhuisha na alimuumba mwanadamu ili amtumikie,hakumuumba mwanadamu ili amuue mwanadamu mwenzie, kweli wasipotubu na kuacha matendo maovu ipo siku watakutana na hasira za Mungu.
 
Hi wanajamvi, leo nakuja mbele yenu kuwaeleza hiki kitu.

Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa nafanya masters chuo kikuu cha dsm kulikuwa na afisa mmoja wa tra wilaya ya kongwa ndugu STANLEY NYAMBOGA. Huyu kijana alikuwa ni kijana machachari na alikuwa na msimamo mkali asiyependa yumbishwa. Nilibahatika kufanya nae kazi MBEYA baadae akahamishiwa mjini kongwa na kuwa afisa wa TRA wilaya.

Mnamo mwaka 2010 aliingia kwenye mgogoro na ndugu job ****** kipindi hiko akiwa ni mbunge. Sababu kubwa ya bifu hilo ni muheshimiwa ****** kukataa kulipa kodi kwenye oil stations zake zilizopo wilayani KONGWA. Sasa huyo jamaa alimuandikia barua mheshimiwa ****** kuhusu suala la kulipa kodi ila ****** akapuuza. Akamuandikia nyingine kupitia mke wake ambaye ni daktari wa wilaya ya KONGWA na kumueleza walipe kodi but mheshimiwa ****** kwa jeuri akakataa. Huyo kijana alimuandikia barua ya kumuita ofisini kwake kumueleza alipe kodi pamoja na kumueleza kuwa atamchukulia hatua kali za kisheria. Bwana ****** alikuja ofisini kwake kumtukana na kumtishia maisha lakini yule kijana alisimamia msimamo wake. Kuona hivyo mheshimiwa sana alilipa ile kodi but alimuhaidi kuwa atakiona cha moto.

Baada ya mwezi mmoja tokea tukio hilo, marehemu alirudi chuoni lakini cha ajab alikufa katika mazingira ya ajabu. Akiwa mitaa ya gairo akitokea kongwa kwenda dar chuoni alikutana na roli lililokuwa kasi ikambidi asogee pembeni kulipisha hilo roli yeye akiwa kwenye gari lake lakini lile roli lilimfuata huko huko pembeni na kumgonga ila cha ajabu alikufa peke yake kwa kupasuka kichwa wakati kwenye gari kulikuwa na watu wengine wanne.

Maswali ya kujiuliza. Je ni kwanini afe peke yake? Kwanini ajali itokee baada ya kumbana mheshimiwa alipe kodi?

Nimeandika haya baada ya kumkumbuka jamaa yangu pia nawaonea huruma wale vijana waliotuma sms na kumpigia simu ****** na kumtukana jamaa hafai.

R.I.P STANLEY NYAMBOGA nitakukumbuka milele ndugu na rafiki yangu.

Job Ndugai, Mjukuu wa Bibi
 
Nadhani haya ya kutorosha binti wa kike na kukwepa Kodi atakuwa na kesi ya kujibu na inaonesha kwamba hafai.., hayo mengine ni vigumu kujua ukweli wake

Umenichekesha mkuu, kwani kuna binti wa kiume? anyway mambo haya yana mwisho, its a matter of time
 
Yana ukweli usiopingika. Wananchi wa Jimbo lake wanajua hilo na walipewa zawadi za khanga, mashuka na mablanketi wakati wa msiba wa mama yake. Uliwahinkuona wapi mtu kafiwa halafu anawapa zawadi waliokuja msibani? Mimi ndugu yangu alinionyesha shuka alilopewa. Alipomuua baba yake,alialika Kongwa nzima kwenda kula pale kuanzia asubuhi, mchana na jioni

Hivi unakuwa na furaha gani au kwako maisha yana maanisha nini pale unapokuwa na pesa au uongozi halafu ukawa huna wazazi?Hujisikii kukosa kitu fulani muhimu?
 
Job ndugai kumbe ndio kazi yake???sasa nchi hii itaendaje kama kila mtu analipa kodi vile anavyojisikia????kwa hiyo yeye ndugai anajua atakufa na vituo vyake vya mafuta???mbulula kabisa naibu speaker!!!!!!!!!WALE WALE TU MWANGALIE HUYU NAE ANACHEKELEA KADI NYEKUNDU WAKATI ANAIGHALIMU TIMU.
541142_266246956830096_1490118693_n.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom