Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

umejiuliza au umeona kituo chochote cha tv kinacheza huo wimbo wa kokoro lakini bado uko juu tu? kwa tanzania
Tunaweza bishana sana ila kiukweli haya mambo ya kununua views yapo sana na inawawia vigumu sana youtube kuzi detect, hata wakina rihanna, justin bieber walishtukiwa na views nyingi zisizo halali, kwa hiyo tukubali tukatae haya mambo yapo hata wewe leo hii unaweza kununua views kadri unavyotaka ni ela yako tu, mimi mpenzi wa nyimbo nzuri na sio shabiki wa ma-team kama utahisi hivyo, nakubali nyimbo za mond na za kiba pia, kwa hiyo sipo kuponda au kushabikia upande wowote, tunafahamishana tu.
 
Diamond ana fan base kubwa africa nzima
Jibu tosha kabisa naona wanahaha sana

Wakichukua tuzo wana deserve lkn alipaata mond kanunua, wao views zikiongezeka wanafanya mziki mzuri mond views zikipanda ananunua huwo ni upuuzi unaonifanya nichukie sana
 
sawa mkuu ila kumbuka hakuna anayethibisha hayo madai
 
Kuna watu wako na mambo ya kike....sasa kama ananunua viewers hebu mlinganishe kimafanikio huyo madimpoz / kibakuli na diamond,ndo ujue kwamba hawa jamaa wanaojifanya marafiki wanawivu....mwnzao kashapata show uk wao wabaki kupiga umbea....
 
Diamond ana fan base kubwa africa nzima
Unaweza ukawa sahihi, ila hujaelewa nilichoandika, bila shaka umechagua Africa ukilinganisha na mabara mengine kama Europe na America si ndivyo, na mimi katika africa nikachagua Tanzania na kenya kati ya nchi nyingine zote zilizobaki.
 
Ila kuna ukweli hapa, jana nilitizama video ya Darasa na ndio ilikuwa No 1 trending lakin cha kushangaza ya mavoko sio trending lakin views zinakimbia kama pump za vituo vya mafuta.


Mashabiki wa ali kiba sikieni nikwambieni, video ya rich mavoko wakati inatoka ilikuwa namba moja ktk trending TZ kwasababu ndo ilikuwa inaangaliwa sana na watanzania. Kadri siku zinavokwenda haitazamwi sana tanzania, bali nchi mbalimbali duniani ndo mana ina view wengi lakini aitrend sana in tz, ukipiga hesabu darasa ni trend 1 in tz means anatizamwa sana tz, so ndo umuhmu wa kuwainternational, hata kama hautrend bongo utapata view wengi mana unaangaliwa nchi nyingi. Ndomana salome au pana zinaangaliwa sana ila ktk kutrend tz hazipo sababu za kimataifa
 
Mchukue huyo willy paul ambae ndio namba moja mlete tulinganishe trending yake huku bongo mkuu

Mabwege wa ali kiba sikia nikwambieni, video ya rich mavoko wakati inatoka ilikuwa namba moja ktk trending TZ kwasababu ndo ilikuwa inaangaliwa sana na watanzania. Kadri siku zinavokwenda haitazamwi sana tanzania, bali nchi mbalimbali duniani ndo mana ina view wengi lakini aitrend sana in tz, ukipiga hesabu darasa ni trend 1 in tz means anatizamwa sana tz, so ndo umuhmu wa kuwainternational, hata kama hautrend bongo utapata view wengi mana unaangaliwa nchi nyingi. Ndomana salome au pana zinaangaliwa sana ila ktk kutrend tz hazipo sababu za kimataifa
 

Mabwege wa ali kiba sikia nikwambieni, video ya rich mavoko wakati inatoka ilikuwa namba moja ktk trending TZ kwasababu ndo ilikuwa inaangaliwa sana na watanzania. Kadri siku zinavokwenda haitazamwi sana tanzania, bali nchi mbalimbali duniani ndo mana ina view wengi lakini aitrend sana in tz, ukipiga hesabu darasa ni trend 1 in tz means anatizamwa sana tz, so ndo umuhmu wa kuwainternational, hata kama hautrend bongo utapata view wengi mana unaangaliwa nchi nyingi. Ndomana salome au pana zinaangaliwa sana ila ktk kutrend tz hazipo sababu za kimataifa
 
Tatzo wanatamani kuwa kama diamond ila hawana uwezo huo.. Wanapambana sana atleast wafike robo ya alipo diamond... Kama wana uwezo wapambane kwa matendo na sio maneno kila siku.
Huyo max inaezekana hata mjumbe mtaan kwake hamtambui
 
MwanaFA hakuwa anapata show zozote za nje ila Tanzania nzima tunajua kuwa MwanaFA ni mkali kuliko AY.

So funua uelewa wako kupata show za nje sio kigezo cha ukali wa msanii...Ushawahi kusikia wasanii wa South Africa wanapiga show nje ya kwao?!

Unataka kutuaminisha kuwa jamaa sio wakali na hawamfikii Diamond?!
 
huyo alikiba unaemshadadia kimasomaso hakuiga? imetoka juzijuzi risabela hata hamtaki kuizungumzia?
Mkuu acha kujitia aibu Nani alikwambia kuwa Risabela ni wimbo wa Ali kiba?!

Siku nyingine usiseme kitu kama ujui alafu unajitia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…