h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,544
- 3,361
Tunaweza bishana sana ila kiukweli haya mambo ya kununua views yapo sana na inawawia vigumu sana youtube kuzi detect, hata wakina rihanna, justin bieber walishtukiwa na views nyingi zisizo halali, kwa hiyo tukubali tukatae haya mambo yapo hata wewe leo hii unaweza kununua views kadri unavyotaka ni ela yako tu, mimi mpenzi wa nyimbo nzuri na sio shabiki wa ma-team kama utahisi hivyo, nakubali nyimbo za mond na za kiba pia, kwa hiyo sipo kuponda au kushabikia upande wowote, tunafahamishana tu.umejiuliza au umeona kituo chochote cha tv kinacheza huo wimbo wa kokoro lakini bado uko juu tu? kwa tanzania