Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Endelea kubeba mabox south Africa

Mbona na ww umekimbiia SA inamaana unataka kutuamnisha bongo kazi hakuna mpk ukimbilie south
 
Mkuu acha kujitia aibu Nani alikwambia kuwa Risabela ni wimbo wa Ali kiba?!

Siku nyingine usiseme kitu kama ujui alafu unajitia aibu
Tushawazoea nyimbo ikiwa mbaya mnaikana ata rosa mliikataa
 
Mkuu mbona namna hii tena?

Hivi ulisoma ulichoandika?!

Mbona unatia aibu hivi?

Ali alikuwepo kama Diamond sasa mbona unajitoa akili na kusema kuwa baba ako Diamond asipokuwepo na Ali hatokuwepo kwani nani alianza kusikika baina yao?!

Siku nyingine ukiwa unazungumzia kitu shirikisha na Kichwa yako au muulize na demu wako akusaidie mawazo.
 
Ndio unataka kusemaje?!

Unataka Diamond akifanya show na Ali afanye show?!

Kwa hiyo toka uje mjini ujawahi kusikia Ali kafanya show?!

we itakuwa umeanza kufuatilia mziki mwaka 2009 baada ya wimbo wa Kamwambie
 
Jamaa alivojubu na ww ulivokurupuka kumjibu ni vitu tofauti kabisa saa zingne uwe unakaa unatafakari ndo una jibu cyo unakurupuka tu inatufanya tuzidi kuamini kuwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Sasa mziki mbovu unakunalikaje nje ya nchi? Inakuwaje watu wanampenda
Wasanii wa south africa wanapiga show nchi kibao cassper nyovest anapiga shows botwana, swazland, lethoto,
Juzi juzi hapa AKA alipiga show kubwa tu Mozambique
Mafiki zolo ndo usiseme wanazunguka africa nzima
Hoja yako haina mashiko
 
Jibu swali apo acha kurukaruka kama maharage kwenye sufuria.
Taja shows alizofanya alikiba kama ulivyoulizwa
 
Ndio unataka kusemaje?!

Unataka Diamond akifanya show na Ali afanye show?!

Kwa hiyo toka uje mjini ujawahi kusikia Ali kafanya show?!

we itakuwa umeanza kufuatilia mziki mwaka 2009 baada ya wimbo wa Kamwambie
Taja shows alizofanya acha porojo
 
Kwa hiyo views za Simba hajazipatia Tanzania, wala EA?

Doooh, basi jamaa ni mnoma saaana.
 
Jibu swali apo acha kurukaruka kama maharage kwenye sufuria.
Taja shows alizofanya alikiba kama ulivyoulizwa
Tuliza Munkari....asiejua maana haambiwi maana...maana hata akiambiwa maana na yeye hajui maana lazima ataipotosha.

So baki na ujinga wako.
 
Mkuu acha kujitia aibu Nani alikwambia kuwa Risabela ni wimbo wa Ali kiba?!

Siku nyingine usiseme kitu kama ujui alafu unajitia aibu
anyway sikufanya utafiti sana ila uliletwa uzi humu ndani!Vipi kuhusu kimaso maso nayo ni uongo?
 
Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?
Fanya kugoogle tena mkuu utulee hapa.
Uzuri wa google hata ukiandika " i want free money au i want free computer " wanakuletea link za kupata hivo vitu
Mkuu noma aisee, mambo yameharibika Ommy kavujisha mchongo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…