Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Kuitangaza Tanzania kivipi?!

Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!

Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
 
Kuitangaza Tanzania kivipi?!

Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!

Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Maana kweli ata Mombasa cyo tanzania
 
Mkuu ndio uchambuzi wake ulipoishia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hivi mbona kama tunajadili vitu ambavyo kama havileti maana!
Huyo max ni nani?

Naamini humu ndani kuna watu wa IT wazuri tu, hebu waje watuthibitishie hilo!!
Mbaya zaidi tunabeza mtu ambaye viewers wengi ni 21 mil,mbona video nyingine video nyingine kama ya Yemi alade -John ina million 50 hatujasikia wanaigeria wanapiga kelele?
 
huwa nacheka sana nkisikitika kwa wakati huo huo nkiwaona bado watu hawajui alichokifanya ommy, ommy alipewa mawazo ya kuongeza views za wimbo wake wa jajiandae kwa style ya kucompete na mtu anaekubalika tz nzima simba, so kila cku mnavyoingia youtube kulinganisha hizo videos basi ommy views zake nae zi apanda
 
ila kijana dangote yuko vizuri ,hilo halina ubishi, hata kama ananunua hao sijui waangaliaji
 
VIEWS ZA DIAMOND YOUTUBE
Number 1 remix 18m
Nana 18m
Nitampata wapi 11m
Nasema nawe 10m
Salome 8.8m
Utanipenda 7.7m
Kidogo 7.3m
Bumbum 1.1m

ZA PAMOJA....
Make me sing 5.6m
Nakupenda 2m

ALIZOSHIRIKISHWA...
Akothee ft diamond 3.1m
Jahpraizah ft diamond 3m
Chege ft diamond 2.9m
Linex ft diamond 2.5m
Kcee ft diamond 2m
Bracket ft diamond 1.5m
Waje ft diamond 1.4m
Victoria kimani ft diamond 994k
Papa wemba ft diamond 836k
Donald ft diamond 364k

ila kijana dangote yuko vizuri ,hilo halina ubishi, hata kama ananunua hao sijui waangaliaji

Mkuu ndio uchambuzi wake ulipoishia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Maana kweli ata Mombasa cyo tanzania

[emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza mapovu mkuu
 


Kwani humjui huyu Jamaa? Ungeijua Username yake nyingine wala usingepata tabu. Huyo ni mtu mzima Sana, lakini sijui kapoteza wapi, kutwa Diamond na Ali Kiba tu. Wakina Le Mutuz wapo wengi sema basi tu hawana vyombo.
 
Hater eti hata mashabiki huko mondi anawalipia kiingilio hahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahaa
 
Kila kitu kipo Google sio lazima usomee IT kujua hili
 

Unamahabati wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…