Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
[emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza mapovu mkuuSio utani mkuu...
Huo ni UKWELI...
Comments zako hazifanani na ID yako..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza mapovu mkuuSio utani mkuu...
Huo ni UKWELI...
Comments zako hazifanani na ID yako..!
Ushasahau kuwa Ali Kiba alikuwa anazungumziwa toka Diamond anauza Mitumba.Ali kiba tunamzungumzia kwa kwa sabab ya uwepo wa diamond
Kuitangaza Tanzania kivipi?!Wapi nilipochagua team?
Hivi uyo mnaemshabikia ameweza kuutangaza mziki wake nje ya Tz?
Acheni hizo majungu sio mtu yupo ndani ya game miaka zaid ya kumi hata kufanya show uganda hawezi halaf mnataka kumfananisha na mwenzake anaepiga mziki Africa na sasa anaangalia fursa ulaya uko?
Maana kweli ata Mombasa cyo tanzaniaKuitangaza Tanzania kivipi?!
Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!
Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Mkuu ndio uchambuzi wake ulipoishia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
ila kijana dangote yuko vizuri ,hilo halina ubishi, hata kama ananunua hao sijui waangaliaji
Mkuu ndio uchambuzi wake ulipoishia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Maana kweli ata Mombasa cyo tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] punguza mapovu mkuu
Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
CopyMkuu ndio uchambuzi wake ulipoishia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kila kitu kipo Google sio lazima usomee IT kujua hiliHivi mbona kama tunajadili vitu ambavyo kama havileti maana!
Huyo max ni nani?
Naamini humu ndani kuna watu wa IT wazuri tu, hebu waje watuthibitishie hilo!!
Mbaya zaidi tunabeza mtu ambaye viewers wengi ni 21 mil,mbona video nyingine video nyingine kama ya Yemi alade -John ina million 50 hatujasikia wanaigeria wanapiga kelele?
Ulitaka acoment unachokipenda wewe?Sio utani mkuu...
Huo ni UKWELI...
Comments zako hazifanani na ID yako..!
Mkuu,
Ni kweli na ndiyo maana YouTube/ Google kitambo tangu mwaka 2012 wanafanya uhakiki wa mara kwa mara kuona ''umaarufu'' kuanzia Youtube Account holders binafsi au kampuni na pia account za msanii, mwanamuziki, label za kampuni kubwa za muziki n.k kama ni sahihi au la, hivyo ni ngumu sana mwaka 2016 msanii ''mkubwa'' akajaribu ku-''manipulate'' a.k.a kutumia ''maruhani wa Apps/ teknolojia'' kuongeza views n.k bila ''panga'' la Youtube kumpitia pamoja na ''onyo kali'' pia angalizo zoezi hili la uhakiki YouTube /Google ni endelevu.
Mfano AliKiba yupo na kampuni kubwa ulimwenguni Sony Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal With Sony Music na Msanii mkubwa kupita wote Tanzania, Diamond Platnumz amesaini Universal Diamond amesainiwa Universal Music Group mwaka huu, hivyo wasanii binafsi kwa kuwatumia hawa wawili kama mfano waliosaini na kampuni kubwa uhakiki hupita kwa msanii binafsi na kampuni iliyomsainisha wakitupia vitu vyao Youtube moja kwa moja au kupitia washirika wao.. Soma zaidi mtandao wa : Fake YouTube Views Cut By 2 Billion As Google Audits Record Companies' Video Channels | The Huffington Post
Hao vijana wa mond mapovu yanawatoka wamepanic.Ulitaka acoment unachokipenda wewe?
ukigugo kila kitu kipo hata link za michango ya jamii forum utaikuta!Kila kitu kipo Google sio lazima usomee IT kujua hiliView attachment 440126
Hizi picha naona unazirudia hii kama sikosei mara ya 5 leo!