Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Na chege ft diamond waache waoane 2.9m umeisahau mkuu
 
Kuitangaza Tanzania kivipi?!

Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!

Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Acha kudanganya
 
Swali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!
Zipo kampuni za business promotions zinafanya hiyo kitu. Unalipia wanaopromote video yako kwenye site mbalimbali.

Sio lazma eti video iwe trending tanzania au kenya, ni worldwide promotion. Na view sio lazma mtu aangalie video nzima, akifungua tu link ya video youtube views zinaongezeka.

Ni marketing strategy tu wabongo waache wivu!

Na huyo max sijui anazingua tu. Anafkiri youtube ina mipaka kwamba kwakuwa mwenye video ni wa Tanzania basi itaangaliwa na wa Tanzania tu?
 
Hizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
HV una habari kachukua tuzo mbili kubwa juz kati huko marekani?? Sasa kkoo ipi kkoo ya marekani ?? Punguza mapovuu

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Si ndo hapo sasa wakiambiwa ukweli wanapanic

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Ahaha sijui na yeye amejiunga nao ile team ileeee.
 
Kuitangaza Tanzania kivipi?!

Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!

Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Mkuu waache hao timu ujanja unjanja wiki mipovu inawatoka sanaa wana hamu ya kufua
 
Akisema ana billion tisa mnakataa lkn mkiambiwa kanunua tuzo na view mnakubali sasa cjui ananunuliaga nn izo mambo maana nahisi hela zake zinaishia kununua tuzo na view plus airtime kwny station za TV na radio
Et billion 9 asee wabongo ndo maana tunasujudiana, yaan watu mnachukulia kama bl ni kitu cha kawaida

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Mabwege wa ali kiba sikia nikwambieni, video ya rich mavoko wakati inatoka ilikuwa namba moja ktk trending TZ kwasababu ndo ilikuwa inaangaliwa sana na watanzania. Kadri siku zinavokwenda haitazamwi sana tanzania, bali nchi mbalimbali duniani ndo mana ina view wengi lakini aitrend sana in tz, ukipiga hesabu darasa ni trend 1 in tz means anatizamwa sana tz, so ndo umuhmu wa kuwa international, hata kama hautrend bongo utapata view wengi mana unaangaliwa nchi nyingi. Ndomana salome au pana zinaangaliwa sana ila ktk kutrend tz hazipo sababu za kimataifa
 
ukigugo kila kitu kipo hata link za michango ya jamii forum utaikuta!

Ndio maana nimeomba wataalamu wa IT sio hayo majibu ya kugugo halafu ukimwambia mtu, video hii hapa hebu fanya hicho ulichokielewa tuone matokeo....mtu anabaki kurusha matusi tu
Timu janjajanja mapovuu yanawatokaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…