md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Swali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!![]()
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!![]()
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb
Na chege ft diamond waache waoane 2.9m umeisahau mkuuVIEWS ZA DIAMOND YOUTUBE
Number 1 remix 18m
Nana 18m
Nitampata wapi 11m
Nasema nawe 10m
Salome 8.8m
Utanipenda 7.7m
Kidogo 7.3m
Bumbum 1.1m
ZA PAMOJA....
Make me sing 5.6m
Nakupenda 2m
ALIZOSHIRIKISHWA...
Akothee ft diamond 3.1m
Jahpraizah ft diamond 3m
Linex ft diamond 2.5m
Kcee ft diamond 2m
Bracket ft diamond 1.5m
Waje ft diamond 1.4m
Victoria kimani ft diamond 994k
Papa wemba ft diamond 836k
Donald ft diamond 364k
akikujibu naomba unitag mkuuSwali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!
Acha kudanganyaKuitangaza Tanzania kivipi?!
Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!
Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
Mbona umeleta hii thread kiumbeya umbeya mkuu.![]()
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb
Zipo kampuni za business promotions zinafanya hiyo kitu. Unalipia wanaopromote video yako kwenye site mbalimbali.Swali la msingi.....hizo views wanazinunua kwa nani? Labda tuanzie hapo!
HV una habari kachukua tuzo mbili kubwa juz kati huko marekani?? Sasa kkoo ipi kkoo ya marekani ?? Punguza mapovuuHizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
Tena la omo[emoji23] [emoji23] [emoji23] povu limekutoka haswaa.
Ahahaha wanazidi kuongezeka siku hadi siku.Wapumuliwaji bana
Si ndo hapo sasa wakiambiwa ukweli wanapanicWasanii siku zote ni wasanii, kila kitu kwao ni sanaa. Suala la kupata views wengi Youtube ni jambo linawezekana kutengenezwa kiujanja ujanja kwa 100%. Ni issue rahisi sana kwa Hackers wengi wa mitandaoni.
Kwa msanii yoyote ambaye anapenda Promo za mitandaoni lazima hii mbinu aitumie tu. Hakuna namna ya kulikwepa.
Maajabu ni kwamba WCB wamepanic kuhusu hili suala lilipoletwa kama mjadala. Wasiwasi wao unatoka wapi kama haliwahusu?
Ahaha sijui na yeye amejiunga nao ile team ileeee.Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
Mkuu waache hao timu ujanja unjanja wiki mipovu inawatoka sanaa wana hamu ya kufuaKuitangaza Tanzania kivipi?!
Au Tanzania yako inaishia kariakoo na Tandale?!
Hivi unajua kuwa ukitaja wasanii watatu waliopiga show nyingi nje ya nchi na Ali kiba yumo?!
huyo max ni nani mbona hujibu?
Et billion 9 asee wabongo ndo maana tunasujudiana, yaan watu mnachukulia kama bl ni kitu cha kawaidaAkisema ana billion tisa mnakataa lkn mkiambiwa kanunua tuzo na view mnakubali sasa cjui ananunuliaga nn izo mambo maana nahisi hela zake zinaishia kununua tuzo na view plus airtime kwny station za TV na radio
Timu janjajanja mapovuu yanawatokaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukigugo kila kitu kipo hata link za michango ya jamii forum utaikuta!
Ndio maana nimeomba wataalamu wa IT sio hayo majibu ya kugugo halafu ukimwambia mtu, video hii hapa hebu fanya hicho ulichokielewa tuone matokeo....mtu anabaki kurusha matusi tu