Ana tour, unatambua hilo?africa??ulaya acha utani
Mkuu tangu waanze kulalamika diamond ananunua viewers wanataka kutuaminisha Youtube hawajasikia haya malalamiko na kumfungia au kuondoa hao viewers feki kwenye a/c yake?Unajua jinsi ulivyo andika title mtu anaweza kufikiri kweli kuna ushahidi wa kununua viewers kumbe maneno matupu yakina max.Sasa huu ndio ushahidi? unacho kiongelea hakiwezi kuwa na ushahidi kwakuwa hakipo na hakijawai kuwepo.
Hivi kama ingekuwa ni rahisi kununua views kama mnavyo jaribu kuonesha unafikiri hao wanao lia lia wasingelinunua?
Mi nafikiri mnapotoza muda mwingi kupambana na mtu mmoja ambaye kila leo ana washinda...hivi angekuwa ana nunua kama mnavyosema unafikir mngekuwa wa kwanza kuliona hilo?
Hivi kweli huu ndio ushahidi wa mtu kununua viewers?
Hapo sijakupata vizuri?Ilikuwaje youtube wakampa tuzo mtu anaewacheat kwa kununua viewers?
Ina maana ma TI wa youtube ni maboya wanaruhusu mtu ambae a/c yake iko verified anawaibia alafu haohao youtube wanamlipa?
Samahani lakini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kweli maji kupwa maji kujaaKuiga haijalishi kwann asitafute idea za kwake au mwonekano wake binafsi kwann aige, kwan nahreal ni level yake mbona kamuiga nywele[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ya Diamond na Alikiba ni yale yale kama ya KANUMBA na RAY. Sijui kwanini mijitu haijifunzi.Ali kiba tunamzungumzia kwa kwa sabab ya uwepo wa diamond
Kumbe, ndio hivyo tuzo zinavyinunuliwa?Yaani ni kama nitengeneze username nyingine hapa JF halafu nianze kulike kila nilichowahi kupost. Nitakua najidanganya mwenyewe tu.
Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?Hata hivyo ukinunua views inaonesha kua haurisk chochote iwe kwa video kufungiwa au wewe mwenyewe nimeingia net nimekuta hilo swali na jibu lake.
View attachment 440148
View attachment 440149
Hivyo wanaouliza kua mbona mtu hafungiwi swali lao halina maana.
Sasa tujiuliulize hao ma IT wa mtandao mkubwq kama you tube wameshindwa kuzuia hilo au hata kujua fulani anacheza mchezo huo mpaka wampe tuzoHata hivyo ukinunua views inaonesha kua haurisk chochote iwe kwa video kufungiwa au wewe mwenyewe nimeingia net nimekuta hilo swali na jibu lake.
View attachment 440148
View attachment 440149
Hivyo wanaouliza kua mbona mtu hafungiwi swali lao halina maana.
Chifu hii post ya kwanza ilikua specifically for JF, ya pili ndiyo imeelezea ni kwa vipi unaweza kufanya ununuzi.Kumbe, ndio hivyo tuzo zinavyinunuliwa?
Sasa ngoja niwape mchongo, mond yupo peke yake so inachukua muda kutengeneza viewers kwa kujirudia rudia, ninyi mpo hivi kwa idadi yenu
Kiba
Dimpoz
Jokate
Wema
Na wew
Tafsir ya haraka kama mond ndan ya dakika moja anatengeneza viewers kumi ninyi kwa idadi yenu mnatengeneza hamsini.
Sasa kwa nini msimkomeshe, yeye akitengeneza viewers milioni moja, ninyi mnatengeneza viewers miliom tano.
Alaf mbna youtube wamempa tuzo au nayo kanunua?
Jibu swali ilikuwaje youtube wakampa tuzo?Chifu hii post ya kwanza ilikua specifically for JF, ya pili ndiyo imeelezea ni kwa vipi unaweza kufanya ununuzi.
Tatizo liko wapi bc kila mmoja afanye manunuz then waunganishe manunuz yao mkuuChifu hii post ya kwanza ilikua specifically for JF, ya pili ndiyo imeelezea ni kwa vipi unaweza kufanya ununuzi.
Comments? Kweli kabisa views zinanunuliwa ishindikane comments?Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?
Fanya kugoogle tena mkuu utulee hapa.
Uzuri wa google hata ukiandika " i want free money au i want free computer " wanakuletea link za kupata hivo vitu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kila mtu afanye manunuzi kama yanamletea faidaTatizo liko wapi bc kila mmoja afanye manunuz then waunganishe manunuz yao mkuu
Kuzuia? Ikiwa video haiwezi kua banned that means they got no problem na ishu zako.Sasa tujiuliulize hao ma IT wa mtandao mkubwq kama you tube wameshindwa kuzuia hilo au hata kujua fulani anacheza mchezo huo mpaka wampe tuzo
Kwaiyo Ilikuwa wakampa na Tuzo hao youtube mtu anaewacheat?Comments? Kweli kabisa views zinanunuliwa ishindikane comments?
Usiwe mkali bosi, naomba ulete vigezo vya mtu kuchukua tuzo kutoka kwa hao youtube. Kisha tuendelee.Jibu swali ilikuwaje youtube wakampa tuzo?
Inamaana hawaoni anafanya cheating?
Hawa wanajitoa ufaham so dawa yao nami najitoa ufaham ili twende sawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kila mtu afanye manunuzi kama yanamletea faida