Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Unajua jinsi ulivyo andika title mtu anaweza kufikiri kweli kuna ushahidi wa kununua viewers kumbe maneno matupu yakina max.Sasa huu ndio ushahidi? unacho kiongelea hakiwezi kuwa na ushahidi kwakuwa hakipo na hakijawai kuwepo.
Hivi kama ingekuwa ni rahisi kununua views kama mnavyo jaribu kuonesha unafikiri hao wanao lia lia wasingelinunua?
Mi nafikiri mnapotoza muda mwingi kupambana na mtu mmoja ambaye kila leo ana washinda...hivi angekuwa ana nunua kama mnavyosema unafikir mngekuwa wa kwanza kuliona hilo?

Hivi kweli huu ndio ushahidi wa mtu kununua viewers?
Mkuu tangu waanze kulalamika diamond ananunua viewers wanataka kutuaminisha Youtube hawajasikia haya malalamiko na kumfungia au kuondoa hao viewers feki kwenye a/c yake?
Hawa ni wajinga wachache ambao wanaamini diomond kazi zake hazifai
Walizusha hivi hivi jamaa ananunua tuzo, wao wameanza kushinda tuzo hawapigi tena kelele
 
Yaani ni kama nitengeneze username nyingine hapa JF halafu nianze kulike kila nilichowahi kupost. Nitakua najidanganya mwenyewe tu.
 
Kuiga haijalishi kwann asitafute idea za kwake au mwonekano wake binafsi kwann aige, kwan nahreal ni level yake mbona kamuiga nywele[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kweli maji kupwa maji kujaa
Kwaiyo akibadilisha kitu basi kaiga?
Kwaiyo siku akinyoa upara atakuwa amemuiga nani? Au january makamba
 
Hata hivyo ukinunua views inaonesha kua haurisk chochote iwe kwa video kufungiwa au wewe mwenyewe nimeingia net nimekuta hilo swali na jibu lake.

1480235666742.png

1480235684505.png

Hivyo wanaouliza kua mbona mtu hafungiwi swali lao halina maana.
 
Ali kiba tunamzungumzia kwa kwa sabab ya uwepo wa diamond
Ya Diamond na Alikiba ni yale yale kama ya KANUMBA na RAY. Sijui kwanini mijitu haijifunzi.

Kujishikiza kibifu kwenye shati la mtu ili usikike ni akili za kikuda sana.
 
Yaani ni kama nitengeneze username nyingine hapa JF halafu nianze kulike kila nilichowahi kupost. Nitakua najidanganya mwenyewe tu.
Kumbe, ndio hivyo tuzo zinavyinunuliwa?
Sasa ngoja niwape mchongo, mond yupo peke yake so inachukua muda kutengeneza viewers kwa kujirudia rudia, ninyi mpo hivi kwa idadi yenu
Kiba
Dimpoz
Jokate
Wema
Na wew
Tafsir ya haraka kama mond ndan ya dakika moja anatengeneza viewers kumi ninyi kwa idadi yenu mnatengeneza hamsini.
Sasa kwa nini msimkomeshe, yeye akitengeneza viewers milioni moja, ninyi mnatengeneza viewers miliom tano.
Alaf mbna youtube wamempa tuzo au nayo kanunua?
 
Hata hivyo ukinunua views inaonesha kua haurisk chochote iwe kwa video kufungiwa au wewe mwenyewe nimeingia net nimekuta hilo swali na jibu lake.

View attachment 440148

View attachment 440149

Hivyo wanaouliza kua mbona mtu hafungiwi swali lao halina maana.
Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?
Fanya kugoogle tena mkuu utulee hapa.
Uzuri wa google hata ukiandika " i want free money au i want free computer " wanakuletea link za kupata hivo vitu
 
Sasa tujiuliulize hao ma IT wa mtandao mkubwq kama you tube wameshindwa kuzuia hilo au hata kujua fulani anacheza mchezo huo mpaka wampe tuzo
 
Kumbe, ndio hivyo tuzo zinavyinunuliwa?
Sasa ngoja niwape mchongo, mond yupo peke yake so inachukua muda kutengeneza viewers kwa kujirudia rudia, ninyi mpo hivi kwa idadi yenu
Kiba
Dimpoz
Jokate
Wema
Na wew
Tafsir ya haraka kama mond ndan ya dakika moja anatengeneza viewers kumi ninyi kwa idadi yenu mnatengeneza hamsini.
Sasa kwa nini msimkomeshe, yeye akitengeneza viewers milioni moja, ninyi mnatengeneza viewers miliom tano.
Alaf mbna youtube wamempa tuzo au nayo kanunua?
Chifu hii post ya kwanza ilikua specifically for JF, ya pili ndiyo imeelezea ni kwa vipi unaweza kufanya ununuzi.
Halafu unanidhalilisha mkuu unaponilink na wakina Wema.
 
Chifu hii post ya kwanza ilikua specifically for JF, ya pili ndiyo imeelezea ni kwa vipi unaweza kufanya ununuzi.
Jibu swali ilikuwaje youtube wakampa tuzo?
Inamaana hawaoni anafanya cheating?
 
Tatizo liko wapi bc kila mmoja afanye manunuz then waunganishe manunuz yao mkuu
 
Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?
Fanya kugoogle tena mkuu utulee hapa.
Uzuri wa google hata ukiandika " i want free money au i want free computer " wanakuletea link za kupata hivo vitu
Comments? Kweli kabisa views zinanunuliwa ishindikane comments?
 
Sasa tujiuliulize hao ma IT wa mtandao mkubwq kama you tube wameshindwa kuzuia hilo au hata kujua fulani anacheza mchezo huo mpaka wampe tuzo
Kuzuia? Ikiwa video haiwezi kua banned that means they got no problem na ishu zako.
 
Jibu swali ilikuwaje youtube wakampa tuzo?
Inamaana hawaoni anafanya cheating?
Usiwe mkali bosi, naomba ulete vigezo vya mtu kuchukua tuzo kutoka kwa hao youtube. Kisha tuendelee.
 
Back
Top Bottom