Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Ununuaji wa views Youtube mambo hadharani

Tatizo liko wapi bc kila mmoja afanye manunuz then waunganishe manunuz yao mkuu
Mimi sipingani na mtu kufanya analoona ni bora kwa biashara yake, kama anaona hiyo ni strategy market nzuri ya gharama nafuu kushinda kufanya muziki mzuri afanye tu mimi sina shida nao.
 
Na zile comments za watu kutoka mataifa mbalimbali wananunuaje?
Fanya kugoogle tena mkuu utulee hapa.
Uzuri wa google hata ukiandika " i want free money au i want free computer " wanakuletea link za kupata hivo vitu
Yaani ndio naishiwa pozi kabisa eti mtu anasema amegugo eti hilo jambo linawezekana kwahiyo hilo jambo linawezekana! Aibu gani hii
 
Mimi sipingani na mtu kufanya analoona ni bora kwa biashara yake, kama anaona hiyo ni strategy market nzuri ya gharama nafuu kushinda kufanya muziki mzuri afanye tu mimi sina shida nao.
Owk nimemalizana nawe kiongozi, lakin swali la mond kununua tuzo youtube hujanijibu?
 
Usiwe mkali bosi, naomba ulete vigezo vya mtu kuchukua tuzo kutoka kwa hao youtube. Kisha tuendelee.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio ukali me nimeuliza tu, milard ayo na diamond walipewa tuzo na youtube.
Ndo nauliza hivi youtube na utaalamu wao wanampa mtu anaecheat tuzo?
 
Ali kiba tunamzungumzia kwa kwa sabab ya uwepo wa diamond
Jamani DIAMOND si alisema hawez kusainiwa au yalikuwa mawivu?
Mkuu,
Ni kweli na ndiyo maana YouTube/ Google kitambo tangu mwaka 2012 wanafanya uhakiki wa mara kwa mara kuona ''umaarufu'' kuanzia Youtube Account holders binafsi au kampuni na pia account za msanii, mwanamuziki, label za kampuni kubwa za muziki n.k kama ni sahihi au la, hivyo ni ngumu sana mwaka 2016 msanii ''mkubwa'' akajaribu ku-''manipulate'' a.k.a kutumia ''maruhani wa Apps/ teknolojia'' kuongeza views n.k bila ''panga'' la Youtube kumpitia pamoja na ''onyo kali'' pia angalizo zoezi hili la uhakiki YouTube /Google ni endelevu.

Mfano AliKiba yupo na kampuni kubwa ulimwenguni Sony Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal With Sony Music na Msanii mkubwa kupita wote Tanzania, Diamond Platnumz amesaini Universal Diamond amesainiwa Universal Music Group mwaka huu, hivyo wasanii binafsi kwa kuwatumia hawa wawili kama mfano waliosaini na kampuni kubwa uhakiki hupita kwa msanii binafsi na kampuni iliyomsainisha wakitupia vitu vyao Youtube moja kwa moja au kupitia washirika wao.. Soma zaidi mtandao wa : Fake YouTube Views Cut By 2 Billion As Google Audits Record Companies' Video Channels | The Huffington Post
 
King Kiba nampendea mziki wake ila Diamond ana akili ya biashara na ana marketing strategies nziri inshort jamaa ni mfanyabiashara
 
Kuzuia? Ikiwa video haiwezi kua banned that means they got no problem na ishu zako.
Ha haaa haaa we jamaa buana! kama hiyo inawezekana wakuache kirahisi tu! we hujui kuna makampuni makubwa yanamatangazo yao huko? sasa waweke tangazo lao kwa mtu mwenye viewers fake?
 
Ha haaa haaa we jamaa buana! kama hiyo inawezekana wakuache kirahisi tu! we hujui kuna makampuni makubwa yanamatangazo yao huko? sasa waweke tangazo lao kwa mtu mwenye viewers fake?
Hapa sasa unazingua attachments mbili nilizoweka ni ushahidi wa nilichotoka kusema, au hukuona?
 
Akili zingine bhana huyu mtu ananunua viewers na mziki wake wa ujanja ujanja hivi inakuwaje anapata shows nyingi hivi nje ya nchi?
Malawi
Mayotte
Zimbabwe
Zambia
Nigeria
Botwana
Uk tour na Neyo
Hivi mziki wake unafikaje huko?
Hawa wengine ambao hawanunui viewers mbona hawapati shows nje , wakijitaidi sana Mombasa?
Mwenye uelewa anifahamishe?
Huwezi kujibiwa hilo swali..!!? Watasema ananunua shows
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sio ukali me nimeuliza tu, milard ayo na diamond walipewa tuzo na youtube.
Ndo nauliza hivi youtube na utaalamu wao wanampa mtu anaecheat tuzo?
Nimekuomba vigezo boss.
 
Wasanii siku zote ni wasanii, kila kitu kwao ni sanaa. Suala la kupata views wengi Youtube ni jambo linawezekana kutengenezwa kiujanja ujanja kwa 100%. Ni issue rahisi sana kwa Hackers wengi wa mitandaoni.

Kwa msanii yoyote ambaye anapenda Promo za mitandaoni lazima hii mbinu aitumie tu. Hakuna namna ya kulikwepa.

Maajabu ni kwamba WCB wamepanic kuhusu hili suala lilipoletwa kama mjadala. Wasiwasi wao unatoka wapi kama haliwahusu?
ninachoshangazwa ni kwamba P.SQUARE wanajulikana dunia nzima lakini DIAMOND anawafunika kwa viewer wakati hata ulaya hajulikani,hapa lazima kutakuwa na ujanja ujanja unafanyika
 
Ha haaa haaa we jamaa buana! kama hiyo inawezekana wakuache kirahisi tu! we hujui kuna makampuni makubwa yanamatangazo yao huko? sasa waweke tangazo lao kwa mtu mwenye viewers fake?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ni akili ya kiwango cha gongo tu inaweza kukubali hii hoja ya viewers feki , yaani mtu ana viewers feki alafu makampuni wanapeleka matangazo yao na pesa wanalipa kwa mtu ambae anacheat
 
Ahahaaaaaah...
Mkuu...
Mtu akiona username yako na hiyo avatar yako kabla ya kuona michango yako humu Jukwaani anaweza sema wewe ni great thinker mmoja wa hatari sana...
Lakini akijakuona michango yako tu,atagundua wewe ni bonge moja la KIAZI..!
[HASHTAG]#UKWELIKUHUSUWEWE[/HASHTAG]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo li kiazi kweli , tena kiaz kitam!
 
Watanzania kuna mambo mengi ya technology hatuyajui tunajua kuongea tu.. Views wananunuliwa iko wazi io
 
ninachoshangazwa ni kwamba P.SQUARE wanajulikana dunia nzima lakini DIAMOND anawafunika kwa viewer wakati hata ulaya hajulikani,hapa lazima kutakuwa na ujanja ujanja unafanyika
Acha uongo wewe diamond hajawafikia wala kuwakaribia Psquare kwa views youtube
Psquare wana zaidi ya viewers milioni 370
Diamond ndo kwanza ana viewers milioni 150
 
Back
Top Bottom