Kwahiyo baada ya kuona hivyo inaonekana ndo kama ushaanza kuamini kwamba unaweza kununua malaki ya views halafu poa tu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo baada ya kuona hivyo inaonekana ndo kama ushaanza kuamini kwamba unaweza kununua malaki ya views halafu poa tu!!!!
Tunataka kujua mfumuko wa views umetokea wapi, ili kuondoa utata.
Ah! We jamaa acha mambo yako bhana!!! Unataka kufahamu mfumuko wa views umetoka wapi?! We nani bhana kakuambia kuna mfumuko wa views?Yaani Views 332,178 kwa siku 5 ndo unaona mfumuko??!!Tunataka kujua mfumuko wa views umetokea wapi, ili kuondoa utata.
Ommy amefichua siri vijana wa mond mapovu yanawatoka.Kwahiyo baada ya kuona hivyo inaonekana ndo kama ushaanza kuamini kwamba unaweza kununua malaki ya views halafu poa tu!!!!
King anawaendesha sana. Hujamtaja msanii yoyote but KingHizi akili zenu sijui zinafikiria nini?
Ngoja niwaache na ujinga wenu wa ki team, alafu mwambieni king wenu apeleke mziki wake nje ya kko, uyo anaenunua viewers sasa anaangalia soko la ulaya na america,
Naona taabu tu ningekutafutia Report ya kiuchunguzi ambayo iliandaliwa na taasisi zaidi ya 5 huko duniani kuchunguza kampuni zinazotoa services kama Youtube kama vile YouTube wenyewe, Dailymotion, Vimeo n.k!!! Lengo la ile utafuta ni kufichua frauds mbalimbali including Fake Views!!Tunaweza bishana sana ila kiukweli haya mambo ya kununua views yapo sana na inawawia vigumu sana youtube kuzi detect, hata wakina rihanna, justin bieber walishtukiwa na views nyingi zisizo halali, kwa hiyo tukubali tukatae haya mambo yapo hata wewe leo hii unaweza kununua views kadri unavyotaka ni ela yako tu, mimi mpenzi wa nyimbo nzuri na sio shabiki wa ma-team kama utahisi hivyo, nakubali nyimbo za mond na za kiba pia, kwa hiyo sipo kuponda au kushabikia upande wowote, tunafahamishana tu.
Unachekessha ile mbaya... mi nakuona ki.laza tu katika hili manake mtu aliye smart anajua ni ujinga mtupu!!! Hapo ukiulizwa hata hao views wananunuliawaje nunuliwaje wala hujui...!Ommy amefichua siri vijana wa mond mapovu yanawatoka.
Jamaa anijibu mwenyewe khaUnachekessha ile mbaya... mi nakuona ki.laza tu katika hili manake mtu aliye smart anajua ni ujinga mtupu!!! Hapo ukiulizwa hata hao views wananunuliawaje nunuliwaje wala hujui...!
Uwezekano huo unaweza kuwepo au usiwepo..Kwahiyo baada ya kuona hivyo inaonekana ndo kama ushaanza kuamini kwamba unaweza kununua malaki ya views halafu poa tu!!!!
Kwa fake Views, watu wanauza kweli but for real views... si kazi nyepesi kama watu wanavyodhani!Uwezekano huo unaweza kuwepo au usiwepo..
Jamaa anijibu mwenyewe ndo nini?Jamaa anijibu mwenyewe kha
KajiandaeKing anawaendesha sana. Hujamtaja msanii yoyote but King
Akajiandae kupumuliwa nnKajiandae
Ndio hivyo mkuuAkajiandae kupumuliwa nn
![]()
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb