Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais Magufuli alipofika kufanya kampeni ameweza kulizungumzia hilo huku akionyesha wazi wazi kuchukizwa na watu wanaozidi kuliibua hilo jambo kipindi hiki.
Hivi ni kweli hilo jambo linamtesa Magufuli kwa sasa?
Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?