Uchaguzi 2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

Uchaguzi 2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

Magufuli kafanya mambo mengi mazuri na pia ni binadamu ana mapungufu. Katika mambo anayopaswa kuyasahisha kama ataendelea awamu ya pili ya miaka mitano..

1. Kurudisha uhuru wa Bunge na Mahakama
2. Kupunguza na kupitia upya sheria kandamizi dhidi ya vyombo vya habari
3. Kurudisha imani ya wananchi kwenye vyombo vinavyosimamia chaguzi yaani NEC na ZEC
4. Kuzuia / kutokomeza matumizi ya watu wasiojulikana...
5. Kulegeza suala zima sheria za mifuko ya hifadhi ya kijamii (MAFAO)
6. Kupitia upya makato ya makopo ya Elimu ya juu (retention fees).
7. Bunge live

Hayo mambo sita naimani kabisa yangekuwa hata ndani ya Ilani ya CCM, tungeongea mengine kwenye uchaguzi huu.

"maendeleo hayana chama"
Angalau wewe umeweka kando mahaba! Wenzio kina jinga lao na akina crimea, wao kill kitu ni kusifia tu!!
 
Hata asipo shinda baada ya 28 oct wanzania watakua sio wale wa 2015.


Mradi wake wa kubadili katiba umesha buma.. atapata upinzani mkubwa sana.. hata akibadili hata tawala.

Kinacho takiwa kwa sasa Tanzania ifumuliwe tupate Tanzania mpya.


Muungano ufumuliwe na kila taasisi ifumuliwe.

Utawala ujengwe upya..
Mkuu lini umehamia huku?
 
Ila uchaguzi huu, hata Lissu asiposhinda sindano zimemuingia Magufuli. Kwa kweli kawafungua macho watanzania hata waliokuwa wanamwamini sasa wanaweka alama ya kuuliza.
Tena badala ajikite kuwa3lwza wapiga kura ,atafanya Maajabu gani ili WANANCHI àwaboleshee maisha yao yeye anawafokwa.,watanzania wa sasa siyo kama wa mwaka 47
 
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.

Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?
Ni hivi, The Guilty are afraid. Kuna kaswali kadogo tu kanakowasumbua watu wenye uelewa nalo ni hili...je pesa za kujenga huo uwanja na kununua hizo ndege zilitoka wapi? Sote tunajua hazikuidhinishwa na Bunge na kama zilichotwa Hazina je zilitoka kwenye mfuko gani na kwa sheria ipi?

Kama ni kweli tunaye mtawala anayethubutu kuchota kodi zetu wakati wowote akipenda na kuzitumia anavyotaka yeye, je kwa kipindi cha miaka mitano amechota kiasi gani? Bila shaka sote tumeshuhudia anavyotembea na hela nyingi na kuzigawa kama njugu kwa waumini wake wanapomlilia!

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alivyotunusuru kutoka mikononi mwa wakoloni weupe na sasa tunamhitaji wa kutunusuru kutoka mikononi mwa hawa wakoloni mamboleo, CCM. Tafadhali Mh. Tundu Antiphas Lissu, kama zote hizi zinazochotwa Hazina ni kodi zetu, tunakuhitaji haraka!
 
Mmmh mara hii mmesahau uuzwaji wa nyumba za serikali. Yaan hamfahamu mshike lipi muache lipi ili mradi muibuke na jipya

Hayo mambo ya awamu ya 3 ndio yazungumzwe leo hayo yalishapitwa na wakati sasa hivi current issues ndege, uwanja wa Chato, mbuga ya Burigi, trillion 1.5 za CAG ndio habari ya mjini
 
Wako kwenye kampeni Lissu anajitahidi kupotosha umma kwamba kwa ujenzi wa hicho kiwanja na ununuzi wa ndege basi Magufuli hafai. Nami nakwambia kama Lissu anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili na kasahau ya 2015

Kama siyo kashfa mbona muhusuka na wasaidizi wake wanahangaika kujibu si wanyamaze kama ni habari nzuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtapanic sana!

Watz wanajua hakuna binadamu mkamilifu ndio maana wanaona bora waendelee na Magu kuliko kuchagua hiyo saccos yenu.

Ni aibu Lisu leo kujaribu kuuaminisha uma kwamba Magu ni fisadi asichaguliwe! Asifikiri tumesahau ya 2015

Kwenye sisasa hakuna hiyo dhana ukichafuliwa huwa ni pembeni utapata kura za wafia mboga mboga lakini wanaojitambua ambao hawakuwa kwenye vyama hawawezi kuchagua fisadi ati sababu binadamu hajakamilika
 
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.

Karibu kila mahali Rais Magufuli alipofika kufanya kampeni ameweza kulizungumzia hilo huku akionyesha wazi wazi kuchukizwa na watu wanaozidi kuliibua hilo jambo kipindi hiki.

Hivi ni kweli hilo jambo linamtesa Magufuli kwa sasa?

Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?
Ununuzi wa Ndege una 10%za wajanja wachache na upo ufisadi wa kutisha ndiyo maana walimtoa kafara CAG kukwepa Aibu kubwa na kashfa ya karne
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nenda kaitishe mkutano na wakazi wa mwanza kisha waambie Magu ni fisadi na huo mradi haufai,!

Mzee mnapumulia mashine! Yani nyie tz mnaionea wapi hasa? Humu jf.? Twitter? Au huko anakopita Lisu?

Kwani hapo chadema hamna hata mwenye akili apite huku field kufanya tathimini ya kukubalika kwenu?

Huyu Lisu wenu atashindaje yani? Mbona hatuoni?
Hata kama unasaka uteuzi jaribu kutumia Akili hata kidogo kwani utamuudhi hata mtukufu mwenyekiti anayekutuma
 
Kama unafikiri watz bado wanabebwa na hizo pepo muulize yeye Lisu kwamba Lowasa alipata kura ngapi 2015 baada ya kunadiwa kwa miaka 8 kwamba ni fisadi
Mwaka 2015 ni miaka tofauti, kumbuka ndani ya miaka mitano watumishi wa umma hawakulipwa nyongeza za mishahara hawakupandishwa madaraja, unyanyasaji uonevu mwingi kwa wapinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, watu wengi wanauchukia utawala huu kwa kiwango kikubwa mno.
 
Hilo swali uliwahi kumuuliza Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku yanaridhiwa na nani?
Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi na pesa nyingi hutumika kudidimiza demokrasia na CAG hajawahi kupita huko na siku CAG akipitia ruzuku ya CCM watakwenda jela kuanzia Yusuph makamba kinana na wenzao wa sasa.
 
Akichukizwa zaidi arudishe pesa zetu,asitufokee wakati katupiga yeye na doto
Doto ni mtoto wake wa nje lakini huzuga ni mtoto wa dada yake, wajuzi wa mambo yake siri zake walishasena Doto ni mwanae na huchukua pesa Hazina BOT kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.

Lissu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.

Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ni kashfa za kumnyima kura Magu, basi Lowassa 2015 angepata kura zisizozidi 10.
Umeongea nini? Ndege na airport Chato inahusikaje na Lowassa?
 
Itabidi mwende mbomoe sababu mmezidi,eti uwanja wa kisasa!!! jokes aside plz,Is Chato Airport among the luxury airport?or what do these people mean?
Spitting poisonous doesn't make you hero,go drying haters chaiiiiii.
And if mnafeel pinch chukueni bulldozer mkavunje,too much smhhhh!
 
Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.

Lissu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.

Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ni kashfa za kumnyima kura Magu, basi Lowassa 2015 angepata kura zisizozidi 10.
Mkuu kwa hiyo hayo Makombora hayamtesi JPM?
You must be krez'
 
Itabidi mwende mbomoe sababu mmezidi,eti uwanja wa kisasa!!! jokes aside plz,Is Chato Airport among the luxury airport?or what do these people mean?
Spitting poisonous doesn't make you hero,go drying haters chaiiiiii.
And if mnafeel pinch chukueni bulldozer mkavunje,too much smhhhh!
Povu la Nini...hivi kujenga Uwanja wa Ndege kijijini Kuna tija gani!? hivi nahitaji muhimu ya Wanachato Ni Uwanja wa Ndege ?!
Unapajua Chato?
 
Back
Top Bottom