Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ufisadi wa Chato International Airport unatisha mnoo kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajiamini kwa sababu ni majizi ya kuiba kura kama mnavyoaza kufanya sasa mnaandikisha watu majinaLisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.
Lisu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.
Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ninkashfa za kumnyima kura Magu basi Lowasa 2015 angepata kura zisizozidi 10
Katika kupiga hela Magufuli huwa ana pupa sana. Huwa hana maarifa ndiyo maana anaogopa Rais atakayekuja atafumua mambo yote na kumuanika. Anafanya kila awwzalo apate wabunge wa bendera fuata upepo ambao atawatumia kubadili katiba.Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais Magufuli alipofika kufanya kampeni ameweza kulizungumzia hilo huku akionyesha wazi wazi kuchukizwa na watu wanaozidi kuliibua hilo jambo kipindi hiki.
Hivi ni kweli hilo jambo linamtesa Magufuli kwa sasa?
Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?
Kama hivi wameshaaza kuandika orodha ya majina ya watuHuyo tegemeo lake n mbeleko ya wale aliewateua
Hizo ndio sera za chadema?Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais Magufuli alipofika kufanya kampeni ameweza kulizungumzia hilo huku akionyesha wazi wazi kuchukizwa na watu wanaozidi kuliibua hilo jambo kipindi hiki.
Hivi ni kweli hilo jambo linamtesa Magufuli kwa sasa?
Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?
Hizo ndio sera za chadema?1. Chato airport
2. Mtoto wa dada ake Wizara ya fedha
3. Mume mwenza ( mayanga)
4. Ununuzi wa ndege
Wanajitoa ufahamu hawa ndugu zetu.Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.
Lisu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.
Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ninkashfa za kumnyima kura Magu basi Lowasa 2015 angepata kura zisizozidi 10
Mbona unatoka nje ya mada.
Mada ni kwanini Magufuli anapambana kwa nguvu kubwa kulizima suala la ununuzi wa ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege kijijini kwake?
Magufuli kafanya mambo mengi mazuri na pia ni binadamu ana mapungufu. Katika mambo anayopaswa kuyasahisha kama ataendelea awamu ya pili ya miaka mitano..
1. Kurudisha uhuru wa Bunge na Mahakama
2. Kupunguza na kupitia upya sheria kandamizi dhidi ya vyombo vya habari
3. Kurudisha imani ya wananchi kwenye vyombo vinavyosimamia chaguzi yaani NEC na ZEC
4. Kuzuia / kutokomeza matumizi ya watu wasiojulikana...
5. Kulegeza suala zima sheria za mifuko ya hifadhi ya kijamii (MAFAO)
6. Kupitia upya makato ya makopo ya Elimu ya juu.
Hayo mambo sita naimani kabisa yangekuwa hata ndani ya Ilani ya CCM, tungeongea mengine kwenye uchaguzi huu.
"maendeleo hayana chama"
iti izi bikozi ze gilti a afreidi!!Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye majukwaa ya kampeni za Urais za CCM kwenye huu uchaguzi mkuu wa 2020.
Karibu kila mahali Rais Magufuli alipofika kufanya kampeni ameweza kulizungumzia hilo huku akionyesha wazi wazi kuchukizwa na watu wanaozidi kuliibua hilo jambo kipindi hiki.
Hivi ni kweli hilo jambo linamtesa Magufuli kwa sasa?
Ni kwanini Magufuli anapoteza muda na nguvu zake kulitetea hilo jambo badala ya kujikita kwenye kuinadi ilani yake ya uchaguzi?
Mnatumia nguvu nyingi kuzipinga ndege lakini bado mnazipanda kwenda kwenye kampeni zenu za kumpinga Magufuli.Mbona unatoka nje ya mada.
Mada ni kwanini Magufuli anapambana kwa nguvu kubwa kulizima suala la ununuzi wa ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege kijijini kwake?
Hilo swali uliwahi kumuuliza Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku yanaridhiwa na nani?kama bunge halikuridhia ni ufisadi na anapaswa kujibu mashitaka.
Chadema leo eti mnaujasiri wa kutamka neno fisadi? Mwaka 2015 mliliogopa hilo neno kama ukoma.Lifisadi lenu Magufuli limeweka mtoto wa dada pale hazina hata taaluma hana akaingia ubia na mayanga ili aendelee na ufisadi ila sishangai maana aliwahi kuhonga nyumba za umma!
Inapendeza kujilazimisha kuto ona uhalisia. Labda iwe ni makusudi kwa ajili ya propaganda ili kutovunja mioyo mashabiki wenye uwezo mdogo sana wa kuona na kutafsiri uhalisia.Sisi tunajipakulia wenyewe, hakuna wa kutukadiria.
Sio dhana ni ukweli na hata Lissu anajua hatoshinda. Na mtapoteza majimbo mengi sana.Hii dhana ya Lissu kutoshinda uchaguzi inatoka wapi?
Kuwa upinzani haimaanishi mpinge kila kitu comrade.Yani sisi tupanic tena. Kamwambieni Magu ule mradi wa daraja la bilioni 700 tumekamilisha taarifa zake.
Kwani anajenga Burundi au Malawi?? Wapinzani hamna hoja kabisaMagu anapenda kujenga, mpaka pesa za wahanga wa tetemeko ameenda kujengea. TL awaambie wananchi kilichopo nyuma ya Magu kupenda majenzi.
Ni mawazo yako au unachokisema kipo kwenye ilani yenu chadema?? Tumeomba mtupe ilani yenu mnapiga chengaHata asipo shinda baada ya 28 oct wanzania watakua sio wale wa 2015.
Mradi wake wa kubadili katiba umesha buma.. atapata upinzani mkubwa sana.. hata akibadili hata tawala.
Kinacho takiwa kwa sasa Tanzania ifumuliwe tupate Tanzania mpya.
Muungano ufumuliwe na kila taasisi ifumuliwe.
Utawala ujengwe upya..
Una lipi la kumwambia huyo aliyezomewa na natural Allies?Inapendeza kujilazimisha kuto ona uhalisia. Labda iwe ni makusudi kwa ajili ya propaganda ili kutovunja mioyo mashabiki wenye uwezo mdogo sana wa kuona na kutafsiri uhalisia.
Mfano mzuri huku Jimbo la Hai tulizungumza sana na jumbe kuzituma kwa bwana mkubwa jitahidi uwe unatembelea jimbo mara kwa mara muda utakavyo kuruhusu, tukaonekana hatufahamu majukumu ya Mkuu.
Sasa hatutaki kurusha picha tuu humu, wananchi wa kata mbili tofauti kwa siku mbili mfululizo mkubwa anazomewa na kufunga mkutano.
Asipopigiwa kura za ushindi kwa wenyeji hatuwezi kudanganyika kuwa kaibiwa kura. Japo kwenye mitandao tutaunga mkono kaibiwa, ila hali ni tete sana na labda yatokee maajabu mkubwa anavuka nguo.
Tujifunze kukubali uhalisi wa mwenendo wa kisiasa labda iwe propaganda.