Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mbona unatoka nje ya mada.Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.
Lisu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.
Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ninkashfa za kumnyima kura Magu basi Lowasa 2015 angepata kura zisizozidi 10
Lifisadi lenu Magufuli limeweka mtoto wa dada pale hazina hata taaluma hana akaingia ubia na mayanga ili aendelee na ufisadi ila sishangai maana aliwahi kuhonga nyumba za umma!Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.
Lisu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.
Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ninkashfa za kumnyima kura Magu basi Lowasa 2015 angepata kura zisizozidi 10
Hii dhana ya Lissu kutoshinda uchaguzi inatoka wapi?Ila uchaguzi huu, hats lissu asiposhinda sindano zimemuingia magufuli. Kwa kweli kwafungua macho watanzania hats waliokuwa wanamwamini sasa wanaweka alama ya kuuliza
Rais wa benki ya Dunia (IBRD World Bank) ni daktari wa kutibu watu.Huyo tegemeo lake n mbeleko ya wale aliewateua
Hii dhana ya Lissu kutoshinda uchaguzi inatoka wapi?
Yani sisi tupanic tena. Kamwambieni Magu ule mradi wa daraja la bilioni 700 tumekamilisha taarifa zake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtapanic sana!
Watz wanajua hakuna binadamu mkamilifu ndio maana wanaona bora waendelee na Magu kuliko kuchagua hiyo saccos yenu.
Ni aibu Lisu leo kujaribu kuuaminisha uma kwamba Magu ni fisadi asichaguliwe! Asifikiri tumesahau ya 2015
Sisi tunajipakulia wenyewe, hakuna wa kutukadiria.Wali wa kushiba unauona kwenye sahani.
hizo ni sababu tosha za kutompa kura cz ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma hata kama Tundu Lissu asingeongeaWako kwenye kampeni Lisu anajitahidi kupotosha umma kwamba kwa ujenzi wa hicho kiwanja na ununuzi wa ndege basi Magu hafai. Nami nakwambia kama Lisu anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magu basi atakuwa hana akili na kasahau ya 2015
Lisu ndio anapoteza muda kuongelea hayo mambo.
Lisu kama anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili kabisa.
Angekuwa na akili angefikiri kwamba kama hizo ninkashfa za kumnyima kura Magu basi Lowasa 2015 angepata kura zisizozidi 10
Mbona unatoka nje ya mada.
Mada ni kwanini Magufuli anapambana kwa nguvu kubwa kulizima suala la ununuzi wa ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege kijijini kwake?
Wako kwenye kampeni Lisu anajitahidi kupotosha umma kwamba kwa ujenzi wa hicho kiwanja na ununuzi wa ndege basi Magu hafai. Nami nakwambia kama Lisu anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magu basi atakuwa hana akili na kasahau ya 2015
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtapanic sana!