Uchaguzi 2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

Angalau wewe umeweka kando mahaba! Wenzio kina jinga lao na akina crimea, wao kill kitu ni kusifia tu!!
 
Mkuu lini umehamia huku?
 
Ila uchaguzi huu, hata Lissu asiposhinda sindano zimemuingia Magufuli. Kwa kweli kawafungua macho watanzania hata waliokuwa wanamwamini sasa wanaweka alama ya kuuliza.
Tena badala ajikite kuwa3lwza wapiga kura ,atafanya Maajabu gani ili WANANCHI àwaboleshee maisha yao yeye anawafokwa.,watanzania wa sasa siyo kama wa mwaka 47
 
Ni hivi, The Guilty are afraid. Kuna kaswali kadogo tu kanakowasumbua watu wenye uelewa nalo ni hili...je pesa za kujenga huo uwanja na kununua hizo ndege zilitoka wapi? Sote tunajua hazikuidhinishwa na Bunge na kama zilichotwa Hazina je zilitoka kwenye mfuko gani na kwa sheria ipi?

Kama ni kweli tunaye mtawala anayethubutu kuchota kodi zetu wakati wowote akipenda na kuzitumia anavyotaka yeye, je kwa kipindi cha miaka mitano amechota kiasi gani? Bila shaka sote tumeshuhudia anavyotembea na hela nyingi na kuzigawa kama njugu kwa waumini wake wanapomlilia!

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alivyotunusuru kutoka mikononi mwa wakoloni weupe na sasa tunamhitaji wa kutunusuru kutoka mikononi mwa hawa wakoloni mamboleo, CCM. Tafadhali Mh. Tundu Antiphas Lissu, kama zote hizi zinazochotwa Hazina ni kodi zetu, tunakuhitaji haraka!
 
Mmmh mara hii mmesahau uuzwaji wa nyumba za serikali. Yaan hamfahamu mshike lipi muache lipi ili mradi muibuke na jipya

Hayo mambo ya awamu ya 3 ndio yazungumzwe leo hayo yalishapitwa na wakati sasa hivi current issues ndege, uwanja wa Chato, mbuga ya Burigi, trillion 1.5 za CAG ndio habari ya mjini
 
Wako kwenye kampeni Lissu anajitahidi kupotosha umma kwamba kwa ujenzi wa hicho kiwanja na ununuzi wa ndege basi Magufuli hafai. Nami nakwambia kama Lissu anafikiri hizo ni kashfa za kumnyima kura Magufuli basi atakuwa hana akili na kasahau ya 2015

Kama siyo kashfa mbona muhusuka na wasaidizi wake wanahangaika kujibu si wanyamaze kama ni habari nzuri
 

Kwenye sisasa hakuna hiyo dhana ukichafuliwa huwa ni pembeni utapata kura za wafia mboga mboga lakini wanaojitambua ambao hawakuwa kwenye vyama hawawezi kuchagua fisadi ati sababu binadamu hajakamilika
 
Ununuzi wa Ndege una 10%za wajanja wachache na upo ufisadi wa kutisha ndiyo maana walimtoa kafara CAG kukwepa Aibu kubwa na kashfa ya karne
 
Hata kama unasaka uteuzi jaribu kutumia Akili hata kidogo kwani utamuudhi hata mtukufu mwenyekiti anayekutuma
 
Kama unafikiri watz bado wanabebwa na hizo pepo muulize yeye Lisu kwamba Lowasa alipata kura ngapi 2015 baada ya kunadiwa kwa miaka 8 kwamba ni fisadi
Mwaka 2015 ni miaka tofauti, kumbuka ndani ya miaka mitano watumishi wa umma hawakulipwa nyongeza za mishahara hawakupandishwa madaraja, unyanyasaji uonevu mwingi kwa wapinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, watu wengi wanauchukia utawala huu kwa kiwango kikubwa mno.
 
Hilo swali uliwahi kumuuliza Mbowe kuhusu matumizi ya ruzuku yanaridhiwa na nani?
Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi na pesa nyingi hutumika kudidimiza demokrasia na CAG hajawahi kupita huko na siku CAG akipitia ruzuku ya CCM watakwenda jela kuanzia Yusuph makamba kinana na wenzao wa sasa.
 
Akichukizwa zaidi arudishe pesa zetu,asitufokee wakati katupiga yeye na doto
Doto ni mtoto wake wa nje lakini huzuga ni mtoto wa dada yake, wajuzi wa mambo yake siri zake walishasena Doto ni mwanae na huchukua pesa Hazina BOT kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Umeongea nini? Ndege na airport Chato inahusikaje na Lowassa?
 
Itabidi mwende mbomoe sababu mmezidi,eti uwanja wa kisasa!!! jokes aside plz,Is Chato Airport among the luxury airport?or what do these people mean?
Spitting poisonous doesn't make you hero,go drying haters chaiiiiii.
And if mnafeel pinch chukueni bulldozer mkavunje,too much smhhhh!
 
Mkuu kwa hiyo hayo Makombora hayamtesi JPM?
You must be krez'
 
Povu la Nini...hivi kujenga Uwanja wa Ndege kijijini Kuna tija gani!? hivi nahitaji muhimu ya Wanachato Ni Uwanja wa Ndege ?!
Unapajua Chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…