Uchaguzi 2020 Ununuzi wa ndege na ujenzi wa Chato Airport ni kashfa inayomtesa Magufuli?

Imemuingia sana, anajua alichofanya ni kitendo cha kijinga, huwezi jenga airport kwenye kijiji ambacho mapato yake ni close to zero. Anataka ageuza chato iwe Dar? hehehe si bora angeanza na sehemu ambazo zimekua kidogo sio kwenda kijijini watu waliopo wenyewe washamba, total waste of resources. Akae ajipange upya aache ushenzi.
 
Kaka sijui umeamdika nini!! Kwa ufupi jambo linalokuumiza akili lazima utalifikiria na kulizungumza mara kwa mara...hii ni hulka ya binadamu.
 
Mmmh mara hii mmesahau uuzwaji wa nyumba za serikali. Yaan hamfahamu mshike lipi muache lipi ili mradi muibuke na jipya
Hahaha tutayasema tu. Muda mchache mambo ni mengi.

Kumbuka Magufuli ameanza kampeni 2015 na bado hajamaliza.
 
Hoja za kijinga kabisa. Kwani hizo ndege na viwanja vyake, havitoi huduma kwa watanzania?. Kuleta maendeleo ni kashfa, au kwa sababu hamkufanya nyie?. Kama kuna chama cha kuogopwa ni hilo genge la Chadema, maana hawana lolote la kuwapa watanzania kwa nyakati hizi.
 
Yawezekana Magufuli akashinda lakin elimu ya uraia na ufisadi wa mzee baba kitumia hela zetu kwa ufisadi kiwanja cha ndege sindano imemuingia vzr. Agenda yake ya cku zote kuhus ufisad imefifia kumbe yey ni papa wa.......di
 
Ndiye rais wa hovyo kuwahi kutokea nchini hafai kabisa.
 
Kupanga Ni kuchagua...penye rasilimali kidogo ni lazima upange kwa vipaumbele...je hhitaji la kwanza la Chato Ni Uwanja wa Ndege!
Tangu Uwanja ufunguliwe Ndege ngapi zimetua?
 
alikuwa anapiga hela tu kwa kisingizio cha kujenga uwanja sasa kafa hela zooote zinzliwa na nyenyere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…