Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Mimi ni M-TAG ila approach inayotumiwa na walokole wenzangu huwa inanihuzunisha sana,

Anzisheni mada za kukwamuana kiuchumi wazee dunia ipo kasi sana, ndo maana soli zinatuishia, sio kwa ubaya lakini ila naona kwenye elimu Dunia mnaikwepa sana, mnakosa kundi kubwa kwasababu kutwa kucha kuogopeshana

Vijana wanataka kujua sawa yesu atarudi ila:
  • Watoto wetu wamekula..?, wamevaa vizuri
  • Vipi maisha yetu ya kila siku..?

Tubadilike wakristo wenzangu
 
Ungejua majira tuliyopo sasa, na ungekuwa na macho ya Roho,

Usingebweteka,

Mungu akusaidie.
 
Ni sawaa, kwahiyo hutajenga..? Huvai wewe, unakazi,biashara..?
Unajua maana ya kumeditate neno la Mungu mchana na usiku?

Mambo mengine ya KAZI yakaendelea, wakati huo huo unahakikisha network na mbingu haikati.

Ubarikiwe 🙏
 
Kombolewa.....

Kombooooleewaa nakombolewaa na damu ya Yesu uuh kombooooleewaa

Naaaa nimekuwa mtoto wake..,.,.

Kombooooleewaa

Kombooooleewaa nakombolewaa na damu ya Yesu uuh
Kombooleeewaa naaaah nimekuwa mtoto wake!
Kombolewaaaaa,

Mimi mwana wake kweliiiiiii!!

Ubarikiwe 🙏
 
physical tatizo hamuoni yaan
Ukimwona Yesu saizi huwezi kuishi Kwa macho ya nyama,

Muulize Mtume Sauli/ Paulo, alimwona utukufu wake tu akingaa tu, akawa kipofu mazima.

Yesu ndiye Mungu. Kumwona uwe katika Roho.

Ubarikiwe 🙏
 
How to distinguish unachokiona kwamba ni utakatifu na hallucination ?
 
Ukimwona Yesu saizi huwezi kuishi Kwa macho ya nyama,

Muulize Mtume Sauli/ Paulo, alimwona utukufu wake tu akingaa tu, akawa kipofu mazima.

Yesu ndiye Mungu. Kumwona uwe katika Roho.

Ubarikiwe 🙏
tatizo lenu mmekalilishwa hujui kitu dhambi ni mzigo kukosa maarifa mzigo wakristo watajua huwez juwa ukiishi kiroho ila yupo na picha zake zipo na yupo Afrika
 
Watakatifu wanaishi mbinguni nfani ya Yesu. Maana nyepesi watakatifu wanakaa na Mungu.

Wewe endelea kusubiri unyakuo
Luke 17:34-36

Kuketishwa na YESU katika Ulimwengu wa Roho Kwa wamwaminio ni Kweli,

Lakini pia Unyakuo live katika Ulimwengu wa mwili ni dhahiri pia WATAKATIFU Walio hai watanyakuliwa.

Na maandiko Yako wazi.
 
Vipi kama nikikwambia tayari walisha nyakuliwa, unafikri ukinyakuliwa na huku Duniani unapotea.

Yaania ananyakuliwa anakuwa yupo mbinguni tayari ila hata duniani anaonekana kama kawaida tu.

Angalia mfano wa mtu huyu aliyenyakuliwa,

2 Kor 12:1-4 SUV
[1] Sina budi kujisifu, ijapokuwa haipendezi; lakini nitafikilia maono na mafunuo ya Bwana. [2] Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu. [3] Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua); [4] ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.

Hapo ni Paul anajizungumza yeye mwenyewe, Hebu jiulize baada ya Paulo kunyakuliwa unadhani alitoweka huku Duniani?
Hata hakutoweka bali aliendelea kuwepo tu.

Kunyakuliwa ni Kuingia ndani ya Yesu, hakuna unyakuo physically utakaokutoa Duniani kukupeleka kule juu mawinguni.

Mbinguni siyo Geographical Area, Mbinguni ni katika Roho. Hata sasa upo Mbinguni ndani ya Yesu.
 
Back
Top Bottom