Unyakuo u karibu, nimemwona King Jesus mawinguni amepanda farasi mweupe akiwa na jeshi kubwa la Malaika na Watakatifu

Kunyakuliwa, kujikuta Mbinguni katika Roho katika Ulimwengu wa Roho ni kawaida, nami imewahi nitokea,

Lakini pia Unyakuo katika uhalisia wa watu kubadilika miili kumlaki YESU IPO kimaandiko,

Sasa kuamini neno la Unyakuo alioeleza Paulo, Kisha usiamini neno alilosema Yesu mwenyewe kwamba watu watanyakuliwa Hilo sasa ni tatizo lako binafsi.
 
Alishika upanga uneong'aa 9li amkate nani ?
Mkuu sasa hivi watu wana SMG na vidrone, watamuashia moto huko huko juu. Mwambie aje na drone.
 
adamu aliumbwa kwa udongo matkkkkkkk wewe.
Sasa hujui muumbaji wa Adam ndiye baba yake?

Hilo nalo unahitaji upelekwe shule?

Hujui kuwa mifupa huumbwa ndani ya tumbo la mjamzito sawa tu na alivyofinyanywa Adamu Kwa udongo?
 
Unafikiri utapata hata muda wa kuwasha bando basi...yaani siku ikifika ni pyuuuuu.....yaani ni kufumba na kufumbua Yesu karudi
 
Unafikiri utapata hata muda wa kuwasha bando basi...yaani siku ikifika ni pyuuuuu.....yaani ni kufumba na kufumbua Yesu karudi
Tofautisha kurudi Kwa Yesu Kwa HUKUMU na kunyakuliwa Kwa WATAKATIFU duniani ilhali mambo mengine yakiendelea kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…