Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee?
Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika.
Yaani Udiwani wa Njombe tu , ambako biashara kubwa ni maparachichi ndio unawafanya baadhi ya watu wema kuteswa namna hii ! Mnabambikia watu kesi za uongo za mauaji kwa sababu za kuogopa uchaguzi , uchaguzi ambao mliiba kura , sasa mnaogopa nini ikiwa uwezo wa kuiba mnao ?
Bali tunaendelea kusisitiza kwamba kila ubaya utalipwa na wahusika wote watafikiwa bila huruma yoyote .