Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
Mpwayungu anakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa sio sauti nzuri hiyoSi umesikia mtoto amelia kama mbuzi
Kuna muda najiuliza sana, ni nini kinacho wafanya walimu wawe hivi?Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtoto kichwani
View attachment 2500913
Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza.
Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate.
Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali wanaufanyia.
Sasa tunasikia habari za ulawiti, walimu wakiwafanyia watoto wa kiume, huku wale wa kike wakimiminiwa mimbegu iletayo mimba.
Hii kada ni kada adhimu kwa future ya taifa letu na vizazi vijavyo. Iheshimiwe na watu wote, walimu ndio wanatakìwa wawe wa kwanza kuiheshimu.
Na pia wakumbuke kwamba hata Yesu, alikuwa ni nabii. Hivyo elimu ndiye mkombozi pekee wa fikra za taifa letu na kizazi kijacho
ahahahaaaa huku akienda kwenye kishikwambi kupunguza mastreess mara chaji imekata ni shidaKuna teacher hapo ana hasira ya mikopo amekomaa na makofi ya uso balaa 😂
Watasababisha wizi wa mitihaniNimesikia ati walimu wamesaini mikataba ya kufaulisha siyo kazi kama ilivyokuwa mwanzo
Unajisifia kabisa?Duh! Mi kama mwalimu ni kweli niliwahi kupiga wanafunzi vibaya sana, tena wengine ni wa kike, nilikuwa napiga nagaragaza, wanafunzi wa kiume nakanyaga kwa buti. Kuna wakati nilipiga mwanafunzi wa kike aliyekataa kunipikia chai, nilimcharaza viboko visivyo na idadi akiwa chini, alipoinuka tu mbio mpaka kwao kushitaki. Mzazi wake wa kiume alikuja kwa mapambano na mimi ila hakuniona nilibaki ndani nakunywa chai akaacha ujumbe angepambana na mimi kikamilifu kwa kitendo cha kumuadhibu mwanae. Kuadhibu wanawafunzi nitaendelea kama mlezi wao ila nitakuwa makini na adhabu nitakazowapa na aina ya makosa yao. Ikiwezekana ni kuacha kabisa kutoa adhabu kwa wanafunzi japo adhabu haziepukiki hata kama si za kuumiza mwili wa mwanafunzi, mwanafunzi atakosa huduma za kufundishwa kama kutopata ukaribu wa mwalimu wakati wa mchakato wa ufundishaji darasani. Nidhamu kwa mwanafunzi ndiyo akili yenyewe shuleni
ni ushuhuda tu kuwa haya mambo yapo kwa walimuUnajisifia kabisa?
Kuna kila daliliWatasababisha wizi wa mitihani
Balaa lake zitoKuna teacher hapo ana hasira za mikopo amekomaa na makofi ya uso balaa 😂
Aliyewasainisha mijataba ana poor visionKuna kila dalili
Ndo utofauti wa shule special na hizi zetu wao wanafukuza tu huku kwetu Hadi vikae vikao mara mia sita ndo Mwanafunzi aondoshwe kiufupi ombea mwalimu usikutane na wanafunzi wajeuri na wenye kibriSi taratibu zipo? Basi zifuatwe, ikiwezekana afukuzwe shule
We wanafunzi wanakera! Kuna mmoja nikimuadhibu fimbo mbili za mkononi Kwa kosa lake Kisha akaniangalia akanitukana m..b...o........o ya ba...bako nikamcheki tu nikacheka.Sio walinu wote wavumilivu wa matusi .Kuna muda najiuliza sana, ni nini kinacho wafanya walimu wawe hivi?
Yaani kukataa kukupikia chai ndio ukampiga . ulikuepo na chuki binafsi naeDuh! Mi kama mwalimu ni kweli niliwahi kupiga wanafunzi vibaya sana, tena wengine ni wa kike, nilikuwa napiga nagaragaza, wanafunzi wa kiume nakanyaga kwa buti. Kuna wakati nilipiga mwanafunzi wa kike aliyekataa kunipikia chai, nilimcharaza viboko visivyo na idadi akiwa chini, alipoinuka tu mbio mpaka kwao kushitaki.
Mzazi wake wa kiume alikuja kwa mapambano na mimi ila hakuniona nilibaki ndani nakunywa chai akaacha ujumbe angepambana na mimi kikamilifu kwa kitendo cha kumuadhibu mwanae. Kuadhibu wanawafunzi nitaendelea kama mlezi wao ila nitakuwa makini na adhabu nitakazowapa na aina ya makosa yao.
Ikiwezekana ni kuacha kabisa kutoa adhabu kwa wanafunzi japo adhabu haziepukiki hata kama si za kuumiza mwili wa mwanafunzi, mwanafunzi atakosa huduma za kufundishwa kama kutopata ukaribu wa mwalimu wakati wa mchakato wa ufundishaji darasani. Nidhamu kwa mwanafunzi ndiyo akili yenyewe shuleni