mi nilikuwa kijana mdogo, kulikuwa na walimu wenye umri mkubwa kuliko mimi, hawa mabinti walikuwa wanakaribiana umri na mimi, kitendo cha kukataa kunipikia chai wakati huwa wanapikia wenzangu wakubwa nikaona ni dharau nikaamua kumuadhibu, toka siku hiyo sikutaka tena kupikiwa wala kuchotewa maji na wanafunzi wa aina yeyote
We wanafunzi wanakera! Kuna mmoja nikimuadhibu fimbo mbili za mkononi Kwa kosa lake Kisha akaniangalia akanitukana m..b...o........o ya ba...bako nikamcheki tu nikacheka.Sio walinu wote wavumilivu wa matusi .
View attachment 2500913
Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza.
Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate.
Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali wanaufanyia.
Sasa tunasikia habari za ulawiti, walimu wakiwafanyia watoto wa kiume, huku wale wa kike wakimiminiwa mimbegu iletayo mimba.
Hii kada ni kada adhimu kwa future ya taifa letu na vizazi vijavyo. Iheshimiwe na watu wote, walimu ndio wanatakìwa wawe wa kwanza kuiheshimu.
Na pia wakumbuke kwamba hata Yesu, alikuwa ni nabii. Hivyo elimu ndiye mkombozi pekee wa fikra za taifa letu na kizazi kijacho
Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.