Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

Yaani kukataa kukupikia chai ndio ukampiga . ulikuepo na chuki binafsi nae
mi nilikuwa kijana mdogo, kulikuwa na walimu wenye umri mkubwa kuliko mimi, hawa mabinti walikuwa wanakaribiana umri na mimi, kitendo cha kukataa kunipikia chai wakati huwa wanapikia wenzangu wakubwa nikaona ni dharau nikaamua kumuadhibu, toka siku hiyo sikutaka tena kupikiwa wala kuchotewa maji na wanafunzi wa aina yeyote
 
We wanafunzi wanakera! Kuna mmoja nikimuadhibu fimbo mbili za mkononi Kwa kosa lake Kisha akaniangalia akanitukana m..b...o........o ya ba...bako nikamcheki tu nikacheka.Sio walinu wote wavumilivu wa matusi .
Wisdom from the wise man
 
Kwa utafiti wangu mm nikiwa sample ,,economical stress inachangia 100% Hii kada haina posho tofauti na salary semina ziliishia enzi za Kikwete,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…