Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Usitufanye sote ni mataga!Hii ni kazi inafanywa na intelijensi ya Kenya, kuhakikisha tourism ya Bongo daima inakuwa conflicts na wao watupige bao,wamefaulu watalii hawawezi kuja, na hiii movement wakenya walianza mara tu filamu ya Raisi Samia ya Royal tour ilipo kamilika, na kurushwa ile trailer, Remember ile filamu ilitakiwa iwe hewani between March and April, good movement mpaka high government official wanatumika. Intelligence ya Raisi Samia lazima iwe makini, Kenyan are controlling East African tourism by Mafian mechanism...
it is complicated than you think. Many people are only looking at animals and maasai who are natural residents in the area. But you need to know that there are a lot of external variables (including humans) who have invaded the area in the name of investors. As a result they have attracted a lot of people.You have one if you were keen looking for an answer; a simplified version.
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...
hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.
ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.
masai ni vulnerable group...
wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia
usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?
kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...
hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.
kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya
endelea kukesha twitter....
nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wagen
Wamasai walivamia....waondoleweeeeHivi ngorongoro kati ya wanyama na binadamu, nani alimkuta mwenzake? ...............aliyevamia humo ndiye aondolewe.
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
Exactly... What you are saying here summarizes all that I have been advocating for years.it is complicated than you think. Many people are only looking at animals and maasai who are natural residents in the area. But you need to know that there are a lot of external variables (including humans) who have invaded the area in the name of investors. As a result they have attracted a lot of people.
Kuthibiti hii hali serikali yapaswa kufunga shughuli zote mpya za uwekezaji ambazo zimefanywa ndani ya crater bila kujali mwekezaji ni rais mstaafu au mkewe, mzungu au mkenya. Crater iachwe as it was naturally na wakazi wake wa asili, who knows how to live with animals and protect the environment.
Achaa uhuni na majibu ya kubunimasai wameua watu, wametesa watu, wame nyanyasa watu... nenda wilaya moja ya monduli uliza wakazi kuanzia makuyuni mpakaa mto wa mbu kuwa kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu wamasai wame wafanya nini? na kwanini walikuwa wana nunua ngano na amila wana changanya kwa pamoja alafu wana mwaga katika mazao yao...
pia uliza sababu ya mifugo kufa hovyo kwa pamoja kama sabbu ni ukame?
kama una ndgu huko piga simu uliza raia wakujuze
Nafikiri pia katika jamii ambayo hawakubaliani na uzazi wa mpango kirahisi ni hawa watu pia. Miaka 30 ijayo kutakuwa na idadi kubwa sana ya watu pande hizo.Waondoke na waishi maisha ya kawaida. Population yao imeongezeka na shughuli za kibinadamu pia zikiwemo hizo za kiafya. Wanadisturb wanyama
Mzanzibar ni mtanzania kama wewe na mimi punguza kuwa na unyonge wa kiakili.Anapiga perdiem zake tu taratibu maana anajua yeye ni mzanzibar matatizo yenu mtajua wenyewe
Acha porojo hizo. Hizo shida zao zimeanza leo na ndio mnajifanya kuwasaidia!? Hapa lengo ni kuwanyang'anya makazi yao muwagee mabepari, hizo nyingine ni porojo tu.serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...
hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.
ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.
masai ni vulnerable group...
wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia
usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?
kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...
hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.
kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya
endelea kukesha twitter....
nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Kama waziri mkuu anasema ardhi ni mali ya serikali, ulitegemea wananchi wenye madai wapewe nafasi kumpinga!?waziri mkuu ameenda kule hakuna hata aliyesema anamiliki ardhi pale,
Nitakula bia na nyama choma sanaTunaadhimisha lini siku 365¼ za mwamba kulala milele?
Yaani bora ungeandika kimasai labda ningeelewa unaandika nini, hujaeleweka kabsaa.serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...
hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.
ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.
masai ni vulnerable group...
wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia
usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?
kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...
hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.
kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya
endelea kukesha twitter....
nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Hizo sifa mnazompa sijui huwa mnazitoa wapi.Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo
Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!
Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika