Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Hii ni kazi inafanywa na intelijensi ya Kenya, kuhakikisha tourism ya Bongo daima inakuwa conflicts na wao watupige bao,wamefaulu watalii hawawezi kuja, na hiii movement wakenya walianza mara tu filamu ya Raisi Samia ya Royal tour ilipo kamilika, na kurushwa ile trailer, Remember ile filamu ilitakiwa iwe hewani between March and April, good movement mpaka high government official wanatumika. Intelligence ya Raisi Samia lazima iwe makini, Kenyan are controlling East African tourism by Mafian mechanism...
Usitufanye sote ni mataga!
 
Andiko na picha uliyo bandika Haviendani weka barua ya zuio jipya mkuu
 
You have one if you were keen looking for an answer; a simplified version.
it is complicated than you think. Many people are only looking at animals and maasai who are natural residents in the area. But you need to know that there are a lot of external variables (including humans) who have invaded the area in the name of investors. As a result they have attracted a lot of people.

Kuthibiti hii hali serikali yapaswa kufunga shughuli zote mpya za uwekezaji ambazo zimefanywa ndani ya crater bila kujali mwekezaji ni rais mstaafu au mkewe, mzungu au mkenya. Crater iachwe as it was naturally na wakazi wake wa asili, who knows how to live with animals and protect the environment.
 
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wagen

Umemaliza...Hawa jamaa hawafai...tunaishi nao kwa vile tu ni binadamu wenzetu ila Hawana ubinadamu wowote.
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.

View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!

Tuwekee na hiyo barua mjadala unoge vizuri Erythrocyte
 
it is complicated than you think. Many people are only looking at animals and maasai who are natural residents in the area. But you need to know that there are a lot of external variables (including humans) who have invaded the area in the name of investors. As a result they have attracted a lot of people.

Kuthibiti hii hali serikali yapaswa kufunga shughuli zote mpya za uwekezaji ambazo zimefanywa ndani ya crater bila kujali mwekezaji ni rais mstaafu au mkewe, mzungu au mkenya. Crater iachwe as it was naturally na wakazi wake wa asili, who knows how to live with animals and protect the environment.
Exactly... What you are saying here summarizes all that I have been advocating for years.
Hao Wamasai waliondolewa Serengeti wakakimbilia Ngorongoro hasa ndani Crater mle shimoni. Nako waliondolewa wakaruhusiwa kuanzisha vijiji maeneo ya nje mita kadhaa kuzunguka Crater ambako hawaruhusiwi kufanya kazi nyingine tofauti na ufugaji, ujenzi wa nyumba za tope na kuzaliana.
Changamoto kubwa iliyopo ni kuwa Mamlaka ya Hifadhi (NCAA) wamekuwa inefficient and corrupt kwa kuruhusu ujenzi holela wa camps na mahoteli (kinyume cha Sheria na taratibu za NCA) wamepoteza moral audacity ya kuwasimamia wenyeji. Back in the days wenyeji walikuwa wakipokea msaada wa nafaka kila baada ya muda fulani. Sikumbuki mara ya mwisho kuona hilo zoezi ni lini.
Wenyeji nao kwa kutambua kuwa NCAA inawabania sasa wameamua kualikana kujazana hifadhini. Wapo wanaoingia ubia na matajiri wa ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa ajili ya kusimamia mifugo hiyo hasa upande wa malisho.
Ushauri wangu mimi: Wamasai wabaki ama waondolewe, serikali haina budi kupiga marufuku ugawaji wa campsites na ujenzi wa hoteli za kitalii ndani ya hifadhi. Madhara ya mahoteli ni makubwa sana kwenye uhifadhi kuliko hata uwepo wa wenyeji.
Hoteli mpya zote zijengwe nje ya hifadhi. Karatu ni karibu sana.
 
masai wameua watu, wametesa watu, wame nyanyasa watu... nenda wilaya moja ya monduli uliza wakazi kuanzia makuyuni mpakaa mto wa mbu kuwa kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu wamasai wame wafanya nini? na kwanini walikuwa wana nunua ngano na amila wana changanya kwa pamoja alafu wana mwaga katika mazao yao...

pia uliza sababu ya mifugo kufa hovyo kwa pamoja kama sabbu ni ukame?

kama una ndgu huko piga simu uliza raia wakujuze
Achaa uhuni na majibu ya kubuni

Ukiwa una uhakika usiandikee uongoo

Ukiwa umetumwa na watawala endelea

Lkn hilo la uongoo mchana kweupe hapana

Vijana wa sikuizi ni kama tissue.
Hichi kizazi kimelogwa sana

Mimi niko hapo

Ni Wilaya ngapi zimeriport mifugo kufa ajili ya ukame

Mwetu wewe
Afuu unatukosea boys wewe
 
Waondoke na waishi maisha ya kawaida. Population yao imeongezeka na shughuli za kibinadamu pia zikiwemo hizo za kiafya. Wanadisturb wanyama
Nafikiri pia katika jamii ambayo hawakubaliani na uzazi wa mpango kirahisi ni hawa watu pia. Miaka 30 ijayo kutakuwa na idadi kubwa sana ya watu pande hizo.
 
waziri mkuu ameenda kule hakuna hata aliyesema anamiliki ardhi pale,
 
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Acha porojo hizo. Hizo shida zao zimeanza leo na ndio mnajifanya kuwasaidia!? Hapa lengo ni kuwanyang'anya makazi yao muwagee mabepari, hizo nyingine ni porojo tu.
 
waziri mkuu ameenda kule hakuna hata aliyesema anamiliki ardhi pale,
Kama waziri mkuu anasema ardhi ni mali ya serikali, ulitegemea wananchi wenye madai wapewe nafasi kumpinga!?
 
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Yaani bora ungeandika kimasai labda ningeelewa unaandika nini, hujaeleweka kabsaa.
 
Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo

Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!

Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Hizo sifa mnazompa sijui huwa mnazitoa wapi.
 
Back
Top Bottom